PreGE2025 Dkt. Slaa arejea rasmi CHADEMA

PreGE2025 Dkt. Slaa arejea rasmi CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa amerejea rasmi CHADEMA na ametangazwa katika mkutano wa hadhara Mbeya leo Jumapili Machi 23, 2025.

View attachment 3280978
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kurejea kwake kumetangazwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), Aman Golugwa wakati wa uzinduzi wa ziara ya siku 48 ya chama hicho leo Machi 23, 2025 inayolenga kuelimisha umma kuhusu ajenda ya 'No Reforms, No election' jijini Mbeya.

Dkt. Slaa aliondoka Chadema mwaka 2015 kutokana na kutofautiana misimamo na viongozi wenzake.

CHADEMA ni kama dampo tu kila kitu kichafu kiaruhusiwa kuingia humo uchafu unaanza kurudi sasa na kizee kinafiki kingine kipo pembeni kinajifanya ki askofu kumbe uchafu mtupu
 
Hayo majukwaa ya kanda ya Nyasa yatakuwa ni hatari fire 🔥 hebu Imagine uongozi wote wa CHADEMA plus Dr.Slaa 😆🦾 lazima Watanzania wa nyanda za juu kusini waelewe kuwa kama hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi.
 
Back
Top Bottom