PreGE2025 Dkt. Slaa arejea rasmi CHADEMA

PreGE2025 Dkt. Slaa arejea rasmi CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ccm kuna wangapi waliowachukua kutoka chadema tena kwa kuwanunua?

Ni wangapi waliokuwa ccm na kwenda chadema halafu wakarejea ccm?
Hoja ni matusi yake dhidi ya lissu. Pia Shaibu slaa hana ushawishi wowote kwa sasa zaidi ya club house.
 
Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa amerejea rasmi CHADEMA na ametangazwa katika mkutano wa hadhara Mbeya leo Jumapili Machi 23, 2025.

Kurejea kwake kumetangazwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), Aman Golugwa wakati wa uzinduzi wa ziara ya siku 48 ya chama hicho leo Machi 23, 2025 inayolenga kuelimisha umma kuhusu ajenda ya 'No Reforms, No election' jijini Mbeya.

Dkt. Slaa aliondoka Chadema mwaka 2015 kutokana na kutofautiana misimamo na viongozi wenzake.

Asije akajitoa tena ikifika October
 
No reforms no election, ni kama mtu unavyokumbuka shuka la kujifunika wakati kumekucha na jua linachomoza.
 
Back
Top Bottom