Na huko ccm wanawatukana chadema sana na huwanunua na kuwapa vyeo.Hoja ni matusi yake dhidi ya lissu. Pia Shaibu slaa hana ushawishi wowote kwa sasa zaidi ya club house.
Kwenye siasa hakuna uadui au urafiki wa kudumu.Kweli chama kimekufa, mtu aliyeandika kitabu kuwa lissu ni muongo na mropokaji leo anapokelewa kama Shujaa. Chama hakina watu hiki kinachukua makapi.
Huyo dkt wa mihogo akiwekewa sawa maslahi ya uzeeni wala hatosita kusema mmelala na choo!Unasema Nyalandu?
Kwani Dr. Slaa na lile sokwe lenu na Mzee zaidi?Kangetulia kalee wajukuu,katafia jukwaani
Wakati wa Bwana hauna KizuiziAliyekuwa katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa amerejea rasmi CHADEMA na ametangazwa katika mkutano wa hadhara Mbeya leo Jumapili Machi 23, 2025.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kurejea kwake kumetangazwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), Aman Golugwa wakati wa uzinduzi wa ziara ya siku 48 ya chama hicho leo Machi 23, 2025 inayolenga kuelimisha umma kuhusu ajenda ya 'No Reforms, No election' jijini Mbeya.
Dkt. Slaa aliondoka Chadema mwaka 2015 kutokana na kutofautiana misimamo na viongozi wenzake.
Heheheh
2015 mlimkaribisha leo amekuwa mihogo?Huyo dkt wa mihogo akiwekewa sawa maslahi ya uzeeni wala hatosita kusema mmelala na choo!
kuna vigogo wengine watarejea, ni kina Komu na Shibuda ila wale walienda CCM kuunga juhudi haijulikani kama watarejea kwa sasa kwa kuwa wana nyadhifa serikaliniKwa dalili hizi wengi watarejea aisee
Mchungaji Msigwa is next…Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa amerejea rasmi CHADEMA na ametangazwa katika mkutano wa hadhara Mbeya leo Jumapili Machi 23, 2025.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kurejea kwake kumetangazwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), Aman Golugwa wakati wa uzinduzi wa ziara ya siku 48 ya chama hicho leo Machi 23, 2025 inayolenga kuelimisha umma kuhusu ajenda ya 'No Reforms, No election' jijini Mbeya.
Dkt. Slaa aliondoka Chadema mwaka 2015 kutokana na kutofautiana misimamo na viongozi wenzake.
Warejee tupige kazi.kuna vigogo wengine watarejea, ni kina Komu na Shibuda ila wale walienda CCM kuunga juhudi haijulikani kama watarejea kwa sasa kwa kuwa wana nyadhifa serikalini
Kwishnei atike babuji!Dr.Slaa tunaujua uwezo wako katika mapambano, karibu tena karibu sana tupambane na hawa wezi wa chaguzi.
Hilo utajua ww.Huyo dkt wa mihogo akiwekewa sawa maslahi ya uzeeni wala hatosita kusema mmelala na choo!
Mbona mumesahau kumtuma Afande Awadh aje apige Viongozi wetu?Kwishnei atike babuji!