PreGE2025 Dkt. Slaa arejea rasmi CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa amerejea rasmi CHADEMA na ametangazwa katika mkutano wa hadhara Mbeya leo Jumapili Machi 23, 2025.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kurejea kwake kumetangazwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), Aman Golugwa wakati wa uzinduzi wa ziara ya siku 48 ya chama hicho leo Machi 23, 2025 inayolenga kuelimisha umma kuhusu ajenda ya 'No Reforms, No election' jijini Mbeya.

Dkt. Slaa aliondoka Chadema mwaka 2015 kutokana na kutofautiana misimamo na viongozi wenzake.

Safi sana. Samia anaharisha huko aliko na waarabu wake.
 
Mbowe's silence is quite conspicuous, where is the man? He ought to collaborate with his party colleagues to actively partake in the ongoing "No Reform, No Election" campaign. The triumph of this movement is intrinsically tied to the nation's progress. This is no time for brooding or behaving with the petulance of a girl when the objective is to unseat CCM from power.
mbowe is not equal to NO REFORMS, NO ELECTION. Let him quit from party manifesto perpectivelly
 
Akinunuliwa tena ccm mtaanza kulia Lia tena humu
 
Mbowe's silence is quite conspicuous, where is the man? He ought to collaborate with his party colleagues to actively partake in the ongoing "No Reform, No Election" campaign. The triumph of this movement is intrinsically tied to the nation's progress. This is no time for brooding or behaving with the petulance of a girl when the objective is to unseat CCM from power.
Mr Mbowe is preoccupied with his business in London. Given what transpired during the transition of leadership in their party, it sounds naive expecting him in the forefront trying to unseat CCM.
 
mbowe is not equal to NO REFORMS, NO ELECTION. Let him quit from party manifesto perpectivelly
Duh! Perhaps he's harboring some resentment, or maybe it's due to his financial ties with CCM being severed. However, given his status as a retired chairman, he shouldn't have distanced himself to such an extent. Even during the "Tone Tone" fundraising campaign, he remained entirely absent ,not even making an appearance via Skype, as Maria Sarungi and Dr. Slaa did. He really ought to abandon such imprudent behavior.
 
Huo ndiyo ujinga wa wapinzani na wafuasi wao kuchukua mamluki wa ccm wanaotumwa kuiua cdm
 
Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa amerejea rasmi CHADEMA na ametangazwa katika mkutano wa hadhara Mbeya leo Jumapili Machi 23, 2025.

View attachment 3280978
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kurejea kwake kumetangazwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), Aman Golugwa wakati wa uzinduzi wa ziara ya siku 48 ya chama hicho leo Machi 23, 2025 inayolenga kuelimisha umma kuhusu ajenda ya 'No Reforms, No election' jijini Mbeya.

Dkt. Slaa aliondoka Chadema mwaka 2015 kutokana na kutofautiana misimamo na viongozi wenzake.

Dr slaa Sio Dr mihigo Tena 😂
 
Sasa siasa kunoga kulipoa sana tangu
March 2021.

Kazi iendeleeee...

Mwanamke anafaa zaidi... 🤗
 
no reform no election
halafu uchaguzi usipofanyika CCM bado itaendelea kuongoza, chunguzeni vizuri
 
Wenye maono kama mie ya Chadema kuwa ndani ya futi sita.. Tangu kuwakacha hatushangai..

Nyotaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom