Mbona yupo humu humu!....
Sema anaonekana kimanyatu manyatu!... Kama kakakuona...ama bundi!
Maana ashaliza wengi sana Jfdoctor tangu kitambo..
Ila hela za utapeli Zina laana! Huwezi kutoboa ng'o!...
Utapata za kulewea tu... Na za kuwapelekea moto wale viumbe wanaojiuza riverside tu!
Tangu 2010 namjua akiitwa MziziMkavu mpaka leo Bado anatumia Samsung S6!!!