Dkt. Mpango: Kodi si tatizo Bandarini

kwani ni sifa kuwa na mizigo mingi isio kuwa na maana , kama tuna michache halafu mapato ni mengi kuliko isivyokuwa hapo awali kuna haja gani
kwani ni sifa kuwa na mizigo mingi isio kuwa na maana , kama tuna michache halafu mapato ni mengi kuliko isivyokuwa hapo awali kuna haja gani

Tatizo huelewi unachoongea unafikiri mizigo ikiwa kidogo serekali yenyewe ndo inapata pigo. Ina athiri pia baadhi ya biashara.
 
Hali ngumu watanzania masikini tulisha zowea kazi kwenu masikini tulikua tuna kula mpere tukijisaidia bila tabu sasa nyinyi kazi kwenu hali hamkuzoa mkijisaidia mpake mafuta ya mgado fakini
 
Kama hakuna mizigo basi wavuvi turuhusiwe tuwe tunashushia samaki wetu pale, ku
 
Wee Mmawia, tumiaga akili japo kidogo. Hapo maana yake wote walioondoka walikuwa hawalipi kodi.
Title yako, Bandarini sasa kweupe, ni kwamba FAINALI, bandari imefika ulipotaka, wee jamaa ni kichwa cha mbu mwili wa tembo.
 
Walijifanya kukimbilia kenya jana kimenuka bandari ya Mombasa sasa wanajaribu kuanza kutumi wenye njaa wapige kelele ili Magufuli alegeze hakuna kulegeza ni kukaza tu sasa waende wakapitishie msumbiji
Wewe wacha kudanganya mombasa meli zimefurika kibao
 
Serikali yangu ikiamia Dodoma nitageuzo bandari ya DSM uwanja wa mpira au nitakodisha iwe beach
 
kwa hali ilivyokua bora bandari ikauke kabisa,then tutashushia mizigo mombasa kwa muda hadi watu wanyooke-kama baadhi ya kundi la watu walikua wanakwepa kodi na kwa manufaa yao,ngoja hali itubane wote
 
This time next year itakubidi uje kufafanua hiki unachokisema
 
Wale ni wezi na waondoke tu.
Iweje ufanisi uboreshwe ndio wakimbie. Watarudi tu. Huo mgomo wa Muda. Watachoka wenyewe kisha watajirudisha.

Wauza unga hao, acha wasepe.
Hapo Rais, acha akaze Uzi mpaka. kieleweke.
 
Wee Mmawia, tumiaga akili japo kidogo. Hapo maana yake wote walioondoka walikuwa hawalipi kodi.
Title yako, Bandarini sasa kweupe, ni kwamba FAINALI, bandari imefika ulipotaka, wee jamaa ni kichwa cha mbu mwili wa tembo.

Mkuu hata ukimkejeli mleta taarifa ,bado hibadili hali halisi...
 
Kwenye hii mada nimewaona wenye uchumgu na hali ilivyo,nimewaona wanaoshangilia jinsi hali ilivyo, na pia nimewaona wanaoombea hali iendelee hivihivi.Kwa ufupi kuna wazalendo na wasio wazalendo humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…