Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
atatumbuliwaje wakati ni wa mwendokasi?Natabiri kuwa huyu waziri atakuwa wa pili kutumbuliwa .................!!!
atatumbuliwaje wakati ni wa mwendokasi?Natabiri kuwa huyu waziri atakuwa wa pili kutumbuliwa .................!!!
Acha umbulula wewe kama jpm anaamini na kutoa matamko tena kwenye matangazo ya TRA kuwa nchi haiwezi kupata maendeleo bila kukusanya kodi sasa leo kodi imepungua karibu 50% ya makusanyo hayo maendeleo yatatoka wapi. Tuache unafiki. Kwanza umewahi kwenda bandarini siku za karibuni au unaleta pumba zako humu?Waziri Mpango usipate shida ya kuona kwamba unawajibika kuwajibu hao wazushi wasioitakia mema nchi yao. Baadhi yetu tulipoona picha zinazosemekana ni za bandari kavu zikiwa tupu tuliiponge u ubicadas za serikali tukijua kwamba hayo ni matokeo ya kibano cha serikali kwa wale waliokuwa wakiingiza makontena bure kwa kukwepa ushuru. Na ndio hao wanaosambaza taarifa za kizushi. Nchi zilizoendelea hutoza kodi iweje kwa Tanzania iwe nongwa eti mizigo haiji kutokana na kodi!
Mhe. Waziri Mpango wakosoaji wasikunyime usingizi wala kukutia pressure. Usijali maneno ya wapinga maendeleo. Watasema mchana ucku watalala! Piga kazi tu, maana hakuna asiyejua hizi ni zama za Hapa Kazi Tu!
ha ha ha mara ohh tutagawa bure sukari iliyofichwa ipo wapi mie sijawahi kupata ya bure hata kijiko kimoja"Sukari imepanda Tanzania kwa sababu wachina wameongeza matumizi ya sukari hivyo bei ya sukari imeongezeka nchini china, kwa sababu wachina ni marafiki zetu, bei ya sukari haina budi kupanda nchini Tanzania............Mchumi"
Nenda tunduma kaangalie kama utakuta ile misururu ya malori ya makontena na magari yaliyoagizwa"IT". hawa wanafikiria watanzania ni walewale wa zamani kila jambo wanaliaminiAma kwa hakika huyu waziri hajielewi kabisa. Picha haoni. Eti kupungua kwa mizigo bandarini kwa takribani asilimia 70 kunatokana na uchumi wa China kuyumba? kwamba china ndo ina form that 70% ya mizigo bandarini? kwamba kodi haina uhusiano na importation kupungua? how about transit cargo to rwanda, burundi, DRC, Zambia, Malawi??
Haya ni Maajabu!
Tatizo lake anajaribu kumridhisha Rais kwa kila hali kuhusu makusanyo ya pesa. Imagine mpaka pesa za wafadhiri anataka chengi iingie serikalini. Kwa jinsi inavyokwenda lazima atachemka au atakwama somewhere .... na huo ndiyo utakuwa ni mwisho wake!!Mkuu hapo kwa mombasa kachemka vibaya mombasa sasa hivi ipo busy ile mbaya
Nakubaliana na wewe mkuuTatizo lake anajaribu kumridhisha Rais kwa kila hali kuhusu makusanyo ya pesa. Imagine mpaka pesa za wafadhiri anataka chengi iingie serikalini. Kwa jinsi inavyokwenda lazima atachemka au atakwama somewhere .... na huo ndiyo utakuwa ni mwisho wake!!
Labda imegawiwa kwa makada wa chama tuha ha ha mara ohh tutagawa bure sukari iliyofichwa ipo wapi mie sijawahi kupata ya bure hata kijiko kimoja
KamaMagari nayo yanatoka China?
Hivi kwa nini gari unanunua nje kwa bei nafuu lakini hapa wapigwa KODI ya kikatili na kiuwaji?“Walipe kodi tu ili serikali iweze kuwahudumia, haiwezekani bandari itoe huduma kwa wafanyabiashara pasi na wao kulipa kodi, hapana.”
Mimi nadhani hii ni sabotage tu ya wafanya biashara waliozoea kula bila kulipa kodi. Lkn nadhani kuwa na bandari kwa faida ya wachache haina maana kabisa lazima tuendelee kubanana kuliko kuachia watu wafanye wanavyotaka kwa masilahi yao huku nchi ikiendelea kuwa kwenye lindi la umaskini. Singapole imeendelea kwa sababu ya bandari tu na bila kulipa kodi wafanya biashara sidhani ingefika hapo ilipo tunatakiwa kukaza tu hadi kitaelewekaLeo hakuna wakuhoji sukari kwanini imepanda bei na tulihakikishiwa malighafi hiyo itashuka bei hadi 1800! Ngoja tusubiri maana wao wamekuwa wazee wa kubadili gia hewani.
Shangaa wewe ndugu yanguMagari nayo yanatoka China?
Mapovu yanakutoka ya nini ndugu yangu. Humu kila mtu anatoa mawazo yake. Kama hukubaliani nayo jibu kistaarabu. Kwani nchi lazima itegemee mapato toka bandarini tu ndio maendeleo yapatikane? Ina maana nchi ambazo hazina bandari kamwe hazitakuwa na maendeleo?Acha umbulula wewe kama jpm anaamini na kutoa matamko tena kwenye matangazo ya TRA kuwa nchi haiwezi kupata maendeleo bila kukusanya kodi sasa leo kodi imepungua karibu 50% ya makusanyo hayo maendeleo yatatoka wapi. Tuache unafiki. Kwanza umewahi kwenda bandarini siku za karibuni au unaleta pumba zako humu?
Ha ha ha ha haanajaribu kutufanya sisi mambulula kama alivyojaribu kamishna mkuu wa TRA aliyesema VAT ni kodi inapolipwa na mfanyabiashara badala ya mlaji matokeo yake wakakimbia kipima joto ITV
Ukweli wafanyabiashara hawapendi kulipa kodi, kama wameshindwa kufanya biashara hapa tanzania wapo huru kuondoka na kwenda kufunya nchi nyingine ambako watafanya ufisadi wao wa kutokulipa kodi.