Dkt. Mpango: Bado kuna wizi mkubwa unaendelea kwenye manunuzi ya Umma, Waziri Mkuu tusaidie kuwashughulikia

Ukimya wa mkuu kutathimini kwa kina huenda ukawa na tija.

Mawaziri walikuwa wakiuza sura kwa media kumfurahisha mkuu ila ukweli ni mchungu miradi maji,afya nk ipo shida kubwa.

Huenda wakurugenzi wengi pia wakaondoshwa kuondoa utendaji wa mazoea.Ushuhuda mchungu upo taarifa fupi hotuba Waziri Mpango karibuni Arusha.
 
Hakuna wa maana hata mmoja wote ni wapigaji hata yeye mwenyewe ni mpiga dili tu
 
Ukimya wa mkuu kutathimini kwa kina huenda ukawa na tija.
Mawaziri walikuwa wakiuza sura kwa media kumfurahisha mkuu ila ukweli ni mchungu miradi maji,afya nk ipo shida kubwa.
Huenda wakurugenzi wengi pia wakaondoshwa kuondoa utendaji wa mazoea.Ushuhuda mchungu upo taarifa fupi hotuba Waziri Mpango karibuni Arusha.
Huwenda pia wewe una vyeti vilivyotukuka
Yaani msomi!?
 
Na bado mtapigwa sana si hamtaki kupandisha salary huku mnawadanganya wanyonge wenu eti Magu kakomesha rushwa sijui kaleta nidhamu ya watumishi,mtasubiri saana.

By the way kwani PM ndio TAKUKURU au? Mnawalipa TAKUKURU salary za nini sasa
 
Baba mwenye nyumba anajigamba rushwa imeisha. Hakuna kitu kibaya kama kuwa na baba mpenda sifa.
Maccm hayawezi kupambana na Rushwa hata sikumoja,kwanza saizi wizi umekuja kwa staili nyingine hakuna cha force account wala mfumo wa manunuzi ki electronic
 
Hii kauli ya w?aziri Mpango inaacha maswali mengi!

1. Yani waziri Mpango kwa mamlaka yake kama waziri wa fedha hana mamlaka ya kuwachukulia hatua hao wezi wa fedha za umma mpaka aje Majaliwa?

2.Kama ni kungojea kongamano ndipo tushughulikie wezi wa fedha za Je kmaa kongamano lisingefanyika ina maana hao wezi si wangeendelea kuiba hizo fedha umma?

3.Je hivi hapa waziri Mpango anatosha kweli?
 
Back
Top Bottom