Dkt. Mpango: Bado kuna wizi mkubwa unaendelea kwenye manunuzi ya Umma, Waziri Mkuu tusaidie kuwashughulikia

Na upinzani si umeufuta nyie. Endeleeni kujikosoa wenyewe hivyo hivyo kinafiki.
 
Waziri wa fedha Dkt. Mpango amesema bado kuna wizi mkubwa unaendelea kwenye manunuzi ya umma ukiwahusisha watumishi wasio waaminifu.

Dkt. Mipango amemwomba waziri mkuu awasaidie katika swala zima la kuwashughulikia viwavi hao wa sekta ya manunuzi ya umma.

Chanzo: ITV habari!

Maendeleo hayana vyama.
Si wamebaki CCM tupu bado tu wanaibiana?
 
Waziri wa fedha Dkt. Mpango amesema bado kuna wizi mkubwa unaendelea kwenye manunuzi ya umma ukiwahusisha watumishi wasio waaminifu.

Dkt. Mipango amemwomba waziri mkuu awasaidie katika swala zima la kuwashughulikia viwavi hao wa sekta ya manunuzi ya umma.

Chanzo: ITV habari!

Maendeleo hayana vyama.
Huwezi kupambana na rushwa ukafanikiwa kwa kuondoa transparency.
 
Kuna jamaa yuko Geita huko anaitwa APOLNAL ni Mkurugenzi wa halmashauri ya Geita, amenunua V8 la milioni 460 kwa pesa za mfuko wa halmashauri wenye kata zisizozidi 16 aanze kumulikwa huyo kwanza.
 
Kuna jamaa yuko Geita huko anaitwa APOLNAL ni Mkurugenzi wa halmashauri ya Geita, amenunua V8 la milioni 460 kwa pesa za mfuko wa halmashauri wenye kata zisizozidi 16 aanze kumulikwa huyo kwanza.
10% = 46,000,000

Ananunua gari yake binafsi, gari ya mkewe na bajaj!
 
Serikali yote ni ya CCM hao wezi wanatoka wapi?
Mkuu watumishi wa serikali nafasi za kiutendaji na siyo za kisiasa au kuteuliwa kupitia siasa zina watu toka vyama vyote na wengi zaidi hawana vyama.
 
Back
Top Bottom