Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Mkinichagua nitaongeza mshahara wafanyakazi

Hii kauli ameitoa leo 25/10/2020 kwenye kampeni ikiwa ni miaka mitano toka atamke kauli Kama hii kwa wafanyakazi wakati akipiga kampeni mwaka 2015.

Je, kauli hii ya Sasa inatekelezeka? Miradi aliyosema Hadi iishe ameimaliza?
Huyu jiwe huyu huyu!??? Hatudanganyiki! You better go back to chattle and enjoy your loot peacefully otherwise!!------
 
Hii kauli ameitoa leo 25/10/2020 kwenye kampeni ikiwa ni miaka mitano toka atamke kauli Kama hii kwa wafanyakazi wakati akipiga kampeni mwaka 2015.

Je, kauli hii ya Sasa inatekelezeka? Miradi aliyosema Hadi iishe ameimaliza?
Wakuji-tune tu kuwa wamedanganywa ili wasiwe na expectations ambazo hazitokuja kuwa kweli!!
 
Hii kauli ameitoa leo 25/10/2020 kwenye kampeni ikiwa ni miaka mitano toka atamke kauli Kama hii kwa wafanyakazi wakati akipiga kampeni mwaka 2015.

Je, kauli hii ya Sasa inatekelezeka? Miradi aliyosema Hadi iishe ameimaliza?

06 February 2020

Siongezi Mshahara, hata mimi Haunitoshi.! Magufuli agoma tena kuongeza mshahara​

1 May 2018

Rais Magufuli agoma kupandisha mishahara, aeleza sababu, mpaka Maendeleo ya Vitu yamalizike n.k n.k

Rais Magufuli akiwa kwenye sherehe za Siku ya Wafanyafakazi (Mei Mosi) ambazo kitaifa zimefanyika katika Uwanja wa Samora mjini Iringa, amekataa ombi la kupandisha mishahara ya wafanyakazi lililotolewa na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA). Amesema yeye anavyoona ni bora zaidi kupeleka fedha kwenye miradi mikubwa ya maendeleo inayoendelea nchini kuliko kuongeza mishahara.
 
Hii kauli ameitoa leo 25/10/2020 kwenye kampeni ikiwa ni miaka mitano toka atamke kauli Kama hii kwa wafanyakazi wakati akipiga kampeni mwaka 2015.

Je, kauli hii ya Sasa inatekelezeka? Miradi aliyosema Hadi iishe ameimaliza?
Heeeeeeeeee magu kabisaaaaa!!! Hatujasahau ahadi za nyuma!
 
Hii kauli ameitoa leo 25/10/2020 kwenye kampeni ikiwa ni miaka mitano toka atamke kauli Kama hii kwa wafanyakazi wakati akipiga kampeni mwaka 2015.

Je, kauli hii ya Sasa inatekelezeka? Miradi aliyosema Hadi iishe ameimaliza?
Huyu mzee anafanya nakula mlenda na familia yangu,napata lawama sitoi msaada home na washkaji walionipa sapot enzi nasoma nao wananiona kavu, bila kujua nimetaitiwa huku salary advance imeniganda wala kuchomoka siwezi mwaka wa 7 toka niajiriwe sijapanda hata daraja najikuta nimevurugwa tu madeni ndo hayaishi.
 
Kwa hivyo, Magufuli mtetezi wa kiti cha urais alichokalia kwa muda wa miaka mitano anampinga Magufuli rais mbabe aliyejigamba kuwa hawezi kuongeza mishahara kwa sababu hata wa kwake hautoshi!! Huyu Magufuli ana matusi kweli kweli. Sijui anawaonaje waTz. Wewe hadi chupi yako inanunuliwa na hela za walipakodi wakati huo mshahara wako hulipi kodi hata senti moja!!
 
Back
Top Bottom