Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Gwajima anachukiwa sana kwa sababu ni mkweli sana. Je, ukweli wake ni upi?

Ndege wafananao, huruka pamoja...
......Wapemba hujuana kwa vilemba vilevile.! Kwa hiyo Meko na Gwajipono ni mamluki wanaofanana na wanajuana, na wote ni wa kanda ileeee....
Acha ukabila wewe ulitaka awe wa Kanda yako?
 
Nimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli.

Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize wafuatiliaji wa mambo, hapa jukwaani juu ya ukweli wa Gwajima.
Moja wapo ni kuwatia moyo kipindi cha Corona wakati nyie mnavaa balakoa yeye anapita kila Media akiwaambia akuna ugonjwa unaitwa Corona, nikuulize je upo Tz.
 
Gwajima ni mkweli sana aliposema Uaskofu ni zaidi ya kuwa Rais na Waziri Mkuu, halafu ghafla anautaka ubunge.!!

Wana Kawe sio wajinga.
Ni kweli kabsa wala sio uongo cheo cha Uaskofu kidini lakin sasa anataka kuwatumikia wananchi wa aina yote kama mnavyosema siasa na dini ni vitu viwili tofauti
 
Ni kweli Askofu Gwajima ni mkweli hata Chadema wanajua hlo sema nao wanamponda kwasababu hayuko upande wao ila Wajiulize walikosea wapi mpaka watu wanaondoka kwa chama chao
 
Nimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli.

Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize wafuatiliaji wa mambo, hapa jukwaani juu ya ukweli wa Gwajima.
Hilo ni jambo la ukweli analosema mzee magu wala sio uongo maana gwajima ni mtu mwema saana na sisi tunalitambua hilo ndo mana tutampa kura zetu zooote
 
Acheni chuki kawe tunahitaji maendeleo hvyo maneno yenu ya kichonganishi hayatasaidia uzuri mmoja ni kwamba wapiga kura wengi hawapo huku JF so kawe tunaenda na Gwajima ameteuliwa na Rais na Rais amemuani na sisi tunamuamini pia
 
Gwajima ni mkweli Sana....
"Kuna mjinga mmoja, asiyefaa mmoja, mwendawazimu mmmoja anaitwa kadinali Pengo..

Nitabadili misikiti kuwa Sunday School""

Nitampa kura yangu Gwajima.
 
Gwajima ndiye mbunge wa Kawe mtarajiwa. Hilo ubishi halina,
Gwajima ni mkweli Sana....
"Kuna mjinga mmoja, asiyefaa mmoja, mwendawazimu mmmoja anaitwa kadinali Pengo..

Nitabadili misikiti kuwa Sunday School""

Nitampa kura yangu Gwajima.
Propaganda zenu na msagaji wenu zimekwisha. Gwajima ndiye mbunge mtarajiwa wa Kawe. Hilo lishike kichwani kabisa. Nani awezaye kuzuia jambo, ikiwa Mungu ameliridhia?.Mungu ibariki kawe, Mungu mbariki bishop. Gwajima. Mungu ibariki CCM.
 
Kawe inahitaji maendeleo. Hawa saccos ya Mbowe, kila mahali walipo kuanzia kaskazini mpaka kusini, magharibi mpaka mashariki hakuna walichofanya. Tukifuata ukweli bila ushabiki, hawa saccos wanapunguza kasi ya maendeleo kabisa, wao kupinga kila kitu, kupinga mpaka Bajeti sasa unadhani wananchi watawakilishwa na nani kama kila siku mbunge mara yuko karantini, mara apigana na polisi, mara wamegoma sasa wananchi tumechoka. Komaa kamanda, wakakomae pale Ufipa kwenye kile kijumba cha ofisi yao, ili watie adabu maana Mbowe lazima awakamue wote mpaka wapate akili.Tarehe 28 oct, watanzania watawapa mikwaju ya kutosha mpaka data za vichwa vyenu ziyeyuke. Naiona Tanzania ya kijani inakuja.
 
namkumbuka Gwajima enzi za JK alisema homa ya dengue ni mradi binafsi wa waheshimiwa Fulani hivi wavaa misare ya chama mile cha hayati Komba
 
Gwajima ni jasiri ,kawe tunamuitaji sana

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Mkuu CCM imefanikiwa kuongoza na kuwatawala watanzania kwa kuwa 70% ya watanzania ni wajinga Mtaji wa watawala ni elimu mbovu inayozuia mtu kujitambua, kutambua umuhimu wa siasa, uhuru na haki kuwa ndio tunu za taifa lenye maendeleo watanzana huona siasa ni kama ushabiki Simba na Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom