Dkt Liki Abdallah katika Channel ten kuhusu worl cup

Dkt Liki Abdallah katika Channel ten kuhusu worl cup

acha ubahiri kama umeweza kununua sataelite dish unashindwaje kununua king'amuzi chako cha dstv kwa sh 129500/= ili ufaidi world cup

mkuu haya maisha we yaache hujui la kesho. hilo dish analosema complt ni km laki na nusu ila halipii kitu milele sasa hyo dstv mpaka akaangalie worldcup analipia sh ngap? na ukijumlisha bei ya king'amuzi? watu wanapenda sn ila maisha na mfuko haviruhusu kufanya hayo.
 
Namkubali sana leaky abdallah google yuko makini sana.
kuna yule haji sandey manara nae yuko vizuri sana sijui yuko wapi siku hizi.
 
ThumbnailServer2

Nashangaa sana huyu mchambuzi wa mpira kutokuwa TBC2 ambao ndio wenye haki ya kurusha kombe la dunia? yeye namuona channel ten katika kipindi kipya wakati channel ten hawana haki ya kurusha kombe la dunia live

lakini jamaa ni kiboko
mkubwa ikiwa chanel hioo bora nikalale vibandani hao kule half time huku wanaanza
 
Wakuu naomba kama kuna mdau ana ratiba ya mechi zote 64 kwa saa ya EA atuwekee hapa. Maana naona kila ratiba inayotolewa inatolewa kwa saa za CUIABA na MANAUS UTC-4 na UTC-3
 
Dr Rick yupo vizuri sana, kwa kweli ktk masuala ya mpira yupo faster kuliko google.
 
Ukitaka raha ya simulizi za Dr Rick asiwe na mtangazaji mjuaji bali mtangazaji mdadisi.....watangazaji wengine nao wanataka kuchambua na kula bure muda wa mchambuzi bila sababu................
 
Ukitaka raha ya simulizi za Dr Rick asiwe na mtangazaji mjuaji bali mtangazaji mdadisi.....watangazaji wengine nao wanataka kuchambua na kula bure muda wa mchambuzi bila sababu................
It"s true...
 
Kuna Tz kuna channel moja tu itakayorusha hizo mechi ? Jipinde ulipie premium dstv or compact na utojutia raha sana.
 
Huyu jamaa yuko safi kwa kuchambua soka,..ila suala la chanel ten kuonesha world cup, nina mashaka nalo.
 
Jamaa dizaini amekondaa....Dahh sio yule Dr. Liki wa kipindi kile....Au ndo uzee wenyewe huo..
 
ThumbnailServer2

Nashangaa sana huyu mchambuzi wa mpira kutokuwa TBC2 ambao ndio wenye haki ya kurusha kombe la dunia? yeye namuona channel ten katika kipindi kipya wakati channel ten hawana haki ya kurusha kombe la dunia live

lakini jamaa ni kiboko

mbona chanel ten kwenye hicho kipindi waliulizwa kuwa watarusha mashindano ya kombe la dunia wakatoa jibu ambalo liliashiria kuwa watarusha,
 
ThumbnailServer2

Nashangaa sana huyu mchambuzi wa mpira kutokuwa TBC2 ambao ndio wenye haki ya kurusha kombe la dunia? yeye namuona channel ten katika kipindi kipya wakati channel ten hawana haki ya kurusha kombe la dunia live

lakini jamaa ni kiboko
Kuna kiti kinaitwa haki na wajibu, hivyo hata kama haki ni ya TBC2, kuzungumzia mpira sio kosa, kosa ni kuonyesha na iliishatokea huko nyuma, ITV ilipokuwa na haki, Channel Ten enzi hizo ikiitwa DYV ilionyesha bila logo.

Subiria kipute kianze ndipo tujue kwa hakika!.

Pasco
 
Back
Top Bottom