Dkt. John Magufuli, nami namwombea radhi Mkurugenzi wa Geita - mengi mazuri ameyafanya

Kweli bwana some time fukuza fukuza haina afya Sana, mtu ukimpa onyo anakua amejifuza

Si mtetei, ila kwa maongenzi yake naona hajakwiba maana anaongea KWA kujiamini

So naunga mkono angalau jamani hata iyo v8 alipige gia, kuliko gari ndo isababishwe kutumbuliwa alafu ajae ale Raha na v8 sio sawa
 
Hilo la kuzuia ujenzi holela ni uongo, mkoa wa geita ujenzi holela kwa sasa umeshamiri sana.
 
Fedha zikatumwa GPSA na wakanunua GPSAPamoja na mlolongo wote huo Jumba bovu kapewa mtu mmoja
Kuna upuuzi mwingi sana unafanyika huko Halmashauri, CAG anagundua lakini hakuna kinachofanyika. Hii ya 460M ambapo DED alipata baraka zote is just the tip of the iceberg.

Huyu DED kafukukuzwa baada ya info kuleak na wananchi kupiga kelele lakini kuna uozo mwingi tu ambao hufumbiwa macho. Magufuli mwenyewe alichota pesa kujenga uwanja kwake na kununua ndege bila budget lakini hakuna aliyewajibishwa.
 
Siyo Geita Mji, hakuna mtoto anayelundikwa darasani - mbona habari za Nyang'wale ndiyo mnazileta Geita mjini.

Jamani Mhe Dkt Magufuli amsamehe
Amejichongea mwenyewe. Utanunuaje gari la 400m wakati kuna shule za msingi darasa moja wanakaa watoto zaidi ya 200 badala ya 45? Tena hapo hapo Geita mjini? Huo ni uzembe mkubwa wa kufikiri na ku
 
Halmshauri zingine zenye mashangingi wamemaliza hayo matatizo?
Amejichongea mwenyewe. Utanunuaje gari la 400m wakati kuna shule za msingi darasa moja wanakaa watoto zaidi ya 200 badala ya 45? Tena hapo hapo Geita mjini? Huo ni uzembe mkubwa wa kufikiri na kutenda.
 
Bajeti ya kununua lile gari ilipitishwa na Bunge la Jamhuri

Utekelezaji wake uliridhiwa na Baraza la Madiwani...
Ndio maana nilisema hata angenunua kabombadia kakusafiria nje ya mkoa, kama utaratibu ulifuatwa basi hana kosa.

Ishu kubwa hapa sio kubadilisha mkurugenzi, ishu ni kuangalia mapungufu ya mfumo uliopo na kuifanyia marekebisho
 
Kesi yake unajua ilivyoisha?

Umeoneshwa highlights za Movies unajigeuza wewe ndio Director wa Movie husika.
Acha kupotosha, Bagamoyo kulikuwa na wizi wa kutupwa, DT mpaka leo mgorofa wake unauzwa ila haujapata mnunuaji, so nyamaza kabisa.
 
Kuna upuuzi mwingi sana unafanyika huko Halmashauri, CAG anagundua lakini hakuna kinachofanyika. Hii ya 460M ambapo DED alipata baraka zote is just the tip of the iceberg

Huyu DED kafukukuzwa baada ya info kuleak na wananchi kupiga kelele lakini kuna uozo mwingi tu ambao hufumbiwa macho. Magufuli mwenyewe alichota pesa kujenga uwanja kwake na kununua ndege bila budget lakini hakuna aliyewajibishwa
Kwa Geita Mji hali ni shwari hakuna wizi pale.
Acha kupotosha, Bagamoyo kulikuwa na wizi wa kutupwa, DT mpaka leo mgorofa wake unauzwa ila haujapata mnunuaji, so nyamaza kabisa.
Ni tofauti kabisa na huyu DED, just imagine ni miongoni mwa wahakiki dhahabu kabla ya kusafirishwa - angekuwa mwizi hapo kungechimbika.

Halafu Eng Modest Apolnary aliteuliwa akitokea kwenye sekta binafsi za uchimbaji madini - kwa kuheshimu mamlaka za uteuzi alikubali - mshahara wake ulikuwa mkubwa sana.

Namwombea radhi Mkurugenzi huyo kwa mwenyekiti wa CCM taifa na Rais wa JMT Mhe Dkt John Pombe Magufuli
 
Kafanya yote lakini ni hilo moja ni baya kuliko aliyofanya, kwa sababu hilo gari halina faida katika manispaa hiyo, ni bora angejenga hata hoteli ingeweza kuzalisha ajira na kutoa mapato, lakini hilo gari ni kuongeza matumizi kwa kuwa ghalama ya vipuri ni bei ghali ukizingatia njia za geita bado ni za vumbi.
Kwa hiyo ameongeza matumizi zaidi na hilo ni hasara.
Lingeweza kukodishwa kwenye maharusi weekend likaingiza miamala kama shida ni hela tu.
 
Mhe Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, mtoto wako kaunyea mkono "msamehe".

Mkurugenzi kafanya mengi...

Hata kama mtu kafanya nini ukifanya kosa kama hili huwezi kuachwa kazini je ingekuwa kampuni binafsi hiyo hasara ya milioni 200 ungemwacha kazini au kwa mali ya umma tu! Yaani mazoea ya kuona pesa za wananchi hazina thamani ni utamaduni mbaya sana. Atafute kazi nyingine kwani kazi ni
 
I come before you with due respect. As a young brother and good law abiding citizen i kindly and politely ask you The fifth president of our beloved country of Tanzania His excellence to forgive the fired DED of Geita and reinstate him.

This dude needs your forgiveness as a matter of fact is a deligent and hardworking. He built garden, he pioneered many projects and fought very hard against corruption.

Give him a second chance so that he can continue to impliment what he had not finished.

Making a mistake doesn't make you guilty. But repeating the same mistakes definitely makes you guilty.

I beseech you Mr. President forgive this dude and reinstate him to his post for the betterness of Geita and the nation in General.

Best regards
This DED,from what I have come to know,there is nothing to forgive him for,because he hs done nothing wrong, Every thing he did,as far as the "V8" was concerned ,was done by the book.The president and the appointing authority,should have done,due diligence,before kicking him out,the process to procure the vehicle,was done from PM office.

The guy has been sacrificed just to save face,and for political reasons and gains of MP Msukuma. The DED can not just wake up one day,and decide to buy a vehicle.If there was a need to fire people because of this vehicle,procurement authority from PM office,should have been the one,to be shown the door.

What happened to this guy,DED,is unfortunate,it's just for sycophants politicians and President him self,to save face,and boost their ego.

It is sad to say this DED will not be the last,to suffer under this Regime,The president has low self esteem,and likes one manshowmanship.

Jiwe haambiliki, hashauriki.
 
This DED,from what I have come to know,there is nothing to forgive him for,because he hs done nothing wrong, Every thing he did,as far as the "V8" was concerned ,was done by the book.The president and the appointing authority,should have done,due diligence,before kicking him out,the process to procure the vehicle,was done from PM office...
Unajua Kuna kitu mnachanganya hapa, Even process ilifuatwa kitu kikubwa kilicho angaliwa hapa how comes DED kumiliki gari la mil400 la kutembelea kweli?

Kwa Geita ipi hiyo ambayo mtanzania mzalendo kweli uhitaji mgari wote huo wa kutembelea? Ni Tanzania hii hii tunayoijua na shida lukuki zilizomo humu??? BIG SELFISH ,MR PRESIDENT SUKUMA NDANI AGAIN AND AGAIN!
 
Back
Top Bottom