Superintendent kimura
JF-Expert Member
- Feb 24, 2023
- 558
- 2,023
RIp classmte
Baba yangu kapigwa sana na marehemu, tumemkanya sana ila wapi..Huyu so ndo aliwatapeli sana mafaza wetu kwenye inshu za herbal??
R.I.P Isac Ndodi 🐒Kwa mujibu wa taarifa za awali Dkt Ndodi hakuwa Mgonjwa mapema leo alipata changamoto ya ya kiafya na kudondoka chini ghafla na hadi anafikishwa hospital kwa matibabu tayari alikuwa amefariki dunia
Taarifa zinaeleza msiba uko Malamba Mawili
Kwaya ya kurasini kwa tumepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mshiriki mwenzetu Dr Ndodi Mungu akawe faraja kwa familia pamoja na sote tulioguswa na msiba huu….Vita umevipiga na mwendo umeumaliza 😭😭😭
View attachment 3718477
Aliezinguliwa na Kigwangala ni yule walikua wanagombea pisi wa Buguruni..Unawachanganya watu wawili tofauti aliyezinguliwa na Kigwangala siyo huyu
PoleKwa mujibu wa taarifa za awali Dkt Ndodi hakuwa Mgonjwa mapema leo alipata changamoto ya ya kiafya na kudondoka chini ghafla na hadi anafikishwa hospital kwa matibabu tayari alikuwa amefariki dunia
Taarifa zinaeleza msiba uko Malamba Mawili
Kwaya ya kurasini kwa tumepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mshiriki mwenzetu Dr Ndodi Mungu akawe faraja kwa familia pamoja na sote tulioguswa na msiba huu….Vita umevipiga na mwendo umeumaliza 😭😭😭
View attachment 3718477
Umechanganya mafaili. Aliyezinguliwa na Dr Kigwangalla ni Dr JJ Mwaka. Halafu Kigwangalla alikuwa Naibu Waziri tu kwa wakati huoPlacebo effect ni sayansi na inafanya kazi pia. Unakumbuka alizunguliwa na Dr. Kigwangala wakati akiwa waziri wa afya?
Huyo alitapeli sana watanzania kwa madawa yake ya kienyeji, alivyopata pesa akapotea. Hii nchi ujanjaujanja tu maana wajinga wengiKwa mujibu wa taarifa za awali Dkt Ndodi hakuwa Mgonjwa mapema leo alipata changamoto ya ya kiafya na kudondoka chini ghafla na hadi anafikishwa hospital kwa matibabu tayari alikuwa amefariki dunia
Taarifa zinaeleza msiba uko Malamba Mawili
Kwaya ya kurasini kwa tumepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mshiriki mwenzetu Dr Ndodi Mungu akawe faraja kwa familia pamoja na sote tulioguswa na msiba huu….Vita umevipiga na mwendo umeumaliza 😭😭😭
View attachment 3718477
Alikua anavizia ile pisi ya mbezi iliyomkimbia mume wake na kwenda kuolewa mke wa pili na Mwaka huku Kingwa kama fisi nae alikua anavizia kwa mazingira yote kwanza akaamua kuharibu kazi naona waliachana itakua Dr kajiweka hapo..Umechanganya mafaili. Aliyezinguliwa na Dr Kigwangalla ni Dr JJ Mwaka. Halafu Kigwangalla alikuwa Naibu Waziri tu kwa wakati huo
Utakuwa gen z wewe ! Huyo alikuwa maarufu sana enzi za mkapa na jakaya.Jina lake sio geni
Apumzike kwa amani
Nilidhani Kigwangala ali-deal na Dr. J.J Mwaka pekee! Hadi sasa imebidi aitwe J.J Mwaka ktk kazi zakeKigwa effects
Formula ya mkongo kaondoka nayo au Kaiacha?Kwa mujibu wa taarifa za awali Dkt Ndodi hakuwa Mgonjwa mapema leo alipata changamoto ya ya kiafya na kudondoka chini ghafla na hadi anafikishwa hospital kwa matibabu tayari alikuwa amefariki dunia
Taarifa zinaeleza msiba uko Malamba Mawili
Kwaya ya kurasini kwa tumepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mshiriki mwenzetu Dr Ndodi Mungu akawe faraja kwa familia pamoja na sote tulioguswa na msiba huu….Vita umevipiga na mwendo umeumaliza 😭😭😭
View attachment 3718477
Sio huyu aliyezinguliwa ni yule tapeli alikuwa ubugo plazaPlacebo effect ni sayansi na inafanya kazi pia. Unakumbuka alizunguliwa na Dr. Kigwangala wakati akiwa waziri wa afya?