Rayyan haris
Senior Member
- Jul 26, 2026
- 194
- 271
Aiseee kipindi hicho Radio Free Africa hakika apumzike kwa amani
Mimi sielewi kwakweli.Basi usifurahie kuwa na changamoto hio kama ni kweli itakutesa mkuu.
Mimi nimemaliza MD kitambo kidogo lakini kipindi Nilivyokuwa internship mtwara hospital x nilianza kuumwa mara naota natoa tiba au natibia watu. baadae nkaambiwa huyu anatakiwa awe mganga wa jadi.
Kijana nashukuru mungu mzee wangu haamini katika hayo mambo alisema ni heri akafa kuliko kuwa mtu wa namna hio.
Alipambana na kutoa pesa mbaka Sasa nna miaka 5 ni mzima kabisa.
Lakini nnachopenda kukwambia usitamani kabisa hayo mambo utateseka vibaya sanaaa.
Ilala bungoniAliezinguliwa na Kigwangala ni yule walikua wanagombea pisi wa Buguruni..