TANZIA Dkt. Isaac Ndodi afariki dunia

TANZIA Dkt. Isaac Ndodi afariki dunia

Kuna Chanel ya TV ilikua Inaonesha matangazo yake ya dawa zake nimemkumbuka

R .I.P
 
Nilikuwa namsikiliza Sana Katika kipindi chake cha TBC FM kila siku Usiku
 
Kumbe alikuja nenepa hivi?
Mara ya mwisho kumuona ni 2008.

Ajaliwe pumziko jema aiseee, aliweza
Kutushika na vipindi vyake vile,hadi mchele tulikua hautoshi na tuliacha kupikia sufuria na kupikia vyungu!

Achilia mbali kula malimali mia mpka moja kisha moja mpaka mia!!!
 
Daah kuna kituo cha daladala kinaitwa kwa Ndodi na ndio nyumbani kwake Route ya Mbezi =Segerea.
 
Back
Top Bottom