Dkt. Dau afitinishwa na JPM

Dkt. Dau afitinishwa na JPM

.........................
"Tumezidi kuisha serikalini,wengine wanapelekwa nje ya nchi.Sisi ni wengi katika wale wanaoitwa majipu,lkn katika wanaoteuliwa kama si wachache basi hatumo kabisa,ukichunguza ni kama huu utumbuaji majipu unatulenga sisi" ..limeandika Gazeti la Al-Huds likimnukuu Bwana Haji mfanyakazi wa serikali.

"Dr Dau angemalizia tu kipindi chake,ameitoa mbali toka NPF iliyokuwa taabani mpaka NSSF yenye miradi lukuki,ilikuwa apewe shirika au taasisi nyingine ya kuongoza hapa nchini ili awajibike kama alivyowajibika NSSF".
....
"Aliikuta NPF iliyotegemewa makato yasiyodaiwa ya "cane carters" ......................

Huu ndo ujinga usio mipaka na ambao hautakwisha kati yetu. Hata hivyo siyo muhimu sana maana nchi haiwezi kuongozwa kwa kumsikiliza kila mtu.

Watu kama hawa unawezaje kuwa quote? Tumezidi kuisha wapi. Anayesema hivyo anadhani muislamu akiwa sehemu naye yupo bila hata kujua kinachofanyika. Angekufa pia li jitu fulani lingesema tunakwisha. sijui pia lingelaumu nani kwa kufa.

Eti anaombewa amalize muda wake, muda gani aliopewa? Mkataba wa kazi yake ulikuwa unampa muda gani ktk nchi hii? rubbish! Soma tafuta ajira yako upate maisha yako badala ya kuvizia maisha ya waislamu wenzako.
 
NI UPUMBAVU kuweka DINI YA MTU MBELE anapokuwa amebadilishwa cheo au amepumzishwa. narudia kusema ni upumbavu si ujinga. kama kila kitu tutakihusisha na DINI tutakuwa WAPUMBAVU WAKUBWA DUNIA HII. ni wengi wamepumzishwa na kufukuzwa why huyu iwe nongwa? mi nimeona majina ya wanaojiita wakristo na wanojiita waislamu. NI WATU WAPUMBAVU WANAINGIZA DINI KAMA kama ni solution yao kubwa kulia lia kila wakati. Dr Hosea alikuwa ni wa DINI gani? Nendenan bandarini ,nendeni Kwenye vitambulisho vya Taifa na kwingineko. SASA WANAPOKUJA WAPUMBAVU FLAN WAKASEMA DAU kaonewa hapo ndo tunaanza kuuliza HUYU DAU ALIKUWA NAFANYA NINI KULE ALIKO? ALIKUWA KWA MASLAH YA NANI?
 
ACHENI KULALAMIKA, KAANGALIENI MATOKEO YA FORM FOUR 2016, top ten kwa wabongo ni makhafir wote, top schools nyingi za makhafir, hata wale watakaodai sijui Feza, waliotoboa huko ni makhafir, acheni porojo na mpeleke watoto wenu shule za elimu ya dunia, elimu ya ahera ya nini?
 
Hivi ni kwa nini maislamu wanapenda kuona kuwa wanaonewa wakati wote?? Mbona sijawahi kusikia mkristo hata siku moja akilalamika kwnye mambo ya kipuuzi kama haya?

Hii dini ni janga jaman
Naona hata alipochaguliwa Kassim Majaliwa , wanaona wameonewa.
Mtu akili yake ikikaa kidini, reasoning inapotea.
 
kwan hakuna wengine hadi Dau azeeke hapo, udini huuu nauona tena plz hii hoja adm ifunge haina mashiko
 
This is silly; kwani Dau alikuwa NSSF kwa niaba ya kuwatumikia watu wa imani moja? Wakati mwingine tutende haki tu; Dau alikuwa ni mtumishi wa umma na taifa lake linataka kumtumia mahali pengine tatizo liko wapi? Binafsi ningekuwa na uchaguzi ningempeleka Dau Bandari kule.
LABDA WAO WALIPANGA KUMPELEKA BAKWATA!!!
 
Tumuogope Mungu , tumuabudu,tumtukuze kwa njia zote njema.Leo unatembea kwa miguu yako lakini kesho utabebwa.
 
Sasa hawa wenye kuandika magazeti wana shindwa kuelewa kwamba Watanzania tuna mhitaji Dr Dau atusaidie kwenda kutuwakilisha huko Syria au Abudhabi ili kuongeza ufanisi katika kuingiza Tende nchi kama alivyo inyanyua NPF - NSSF. Magufuli anachofanya ni kuwahamisha na kuwapeleka watu wenye uwezo mkubwa kiufanisi zile sehemu ambazo nchi inategemea kupata maslahi. Acheni kulalamika hovyo.
 
Dr.Dau anamiaka 17 NSSF hivi jaman hatuwazi hayo????
leo kuteuliwa kuwa baloz ndo ilete shida wakuuu??
ni mabadiliko ya kazi jamaniii,mbona wakristo waliongoka hatukulaumu zaidi ni kwa manufaa ya nchi2...
alafu islams sio kla jambo ni kulalama.....
mara necta,mara dau mara nini sijui...
mbna all days ni nyinyi2????
badalikeni ni utendaji wa kazi...
bora angefukuzwa kaz perceeee ila kaenda kuwa balozi......
kwa wanaoelewa diplomasia baloz ni cheo kikubwa sawa na Rais....akiwa nchi husika anatembea na gari ya bendera ya nchi ktk gari yake..
baloz ni sawa na rais wa TZ huko aendako.....fikirini kabla ya kuanza kublame
NSSF Ni ya WTZ sio ya waislamu jueni hilo wakuuu....
 
Waislamu wanajua haki zao na kuzipigania kadiri wawezavyo .Si wanafiki wasiporidika wanasema bila kuongopa.Wakristu wanafiki wasiporidhika husemea chini ya meza.Utawala ulipopita kulikuwa na ulalamishi mkubwa kwenye teuzi mbali mbali na wengi walidai waislam wamekuwa wakipendelewa lakini Hakuna aliyepinga kwenye gazeti si la dini wala la ki jamii.Utakuta wanalalamika lalamika kwa chini chini.Kwa waislam nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi.Kwa hili huwa nawapongeza Sana.
Hivi umesoma tena ulichokiandika kabla hujapost?
 
Ukifuatilia kiundani dini fulani ikishika madaraka inajenga uchumi halafu dini fulani wakishika uchumi unaporomoka wakague maraisi waliopita na dini zao
 
Zipo taasisi za mifuko ya hifadhi kama ppf,lapf n.k nawajua wengi tu waliopo huko ambao ni waislamu,in short mifuko hiyo wafanyakazi ni mchanganyiko..Nimetembelea matawi tofautitofauti ya NSSF na ni kweli utaona wengi ushungi na sigda lakini sikutilia maanani nikajisemea NSSF kuna matawi mengi nchi hii,huenda kuna matawi mengine utakuta hakuna hat muislamu mmoja ama wapo mchanganyiko..Lakini waislamu wachache humu kulalamikia suala la Dr dau kuhamishwa kikazi mnataka kutufanya tufikirie huenda kulikua na walakini kweli na mna wasiwasi ndomwisho wa huo uwalakini unafika.

Ni mtazamo wangu.
 
This is silly; kwani Dau alikuwa NSSF kwa niaba ya kuwatumikia watu wa imani moja? Wakati mwingine tutende haki tu; Dau alikuwa ni mtumishi wa umma na taifa lake linataka kumtumia mahali pengine tatizo liko wapi? Binafsi ningekuwa na uchaguzi ningempeleka Dau Bandari kule.

Naam zote hizo ni teuzi ambazo ziko chini ya raisi aliepo madarakani.Kwanza raisi ana haki ya kuanza na watumishi wapya kabisa hata bila kumchukua yayote aliemkuta kwani mwisho wa utendaji wao raisi ndie anawajibika kwa wananchi kwa mazuri na mabaya yaliyotendwa na serikali yake.Raisi atakuteua kutokana na sifa ulizo nazo ambazo zitamwezesha kuendesha serikali kwa ufanisi. Baadhi ya sifa ni pamoja na elimu,uzoefu,uwezo,uaminifu na mengi mengineyo.Raisi bora na mpenda haki hawezi kumteua mtumishi kwa kufuata dini yake. Hii ni nchi na sio dini au dhehebu.Sasa tukianza kulalamika ya dr.Dau kuongoza shirika hilo kwa ufanisi na kisha kutakiwa na raisi kwenda kusaidia eneo jingine halafu tujenge hoja ya kwa nini je tuanze pia kujadili ya Asha Migiro alieshika nafasi ya pili kwa cheo cha ulimwengu mzima nae kuteuliwa balozi?Hatuwezi kuendesha nchi kwa mawazo mgando kama haya.Dini ya kiislamu na yoyote ile ni zaidi ya jina. Dini ni imani kwa dini na mwenyezi mungu.Dau kama alivyofanya vizuri katika shirika lake ndio maana ameteuliwa akasaidie na pengine na ndio maana hakufukuzwa kazi.Huu ni utaratibu wa uongozi dunia nzima ukifanya vizuri hapa nenda kaendeleze na pengine. Hofu hapo ipo wapi? Nawaonya wale wote wanaojaribu kutumia lugha za uchochezi katika uzi huu tena nimwombe moderator akiziona tu dalili za uchangiaji unaoelekea kuchonganisha au kudhalilisha dini yoyote asiuweke hewani. Nakushukuru sana Mwanakijiji kwa mchango wako wenye tija.
 
Naona mnamung'unya maneno tu....
Amna haja ya kumtetea/kuwatetea....
The guy aliendekeza mno udini....and its wide open...afu akawa ana bebwa bebwa na top manyota wa enzi, na kudharau watu, akiwemo JPM...kwanza anabahati, ilibidi afurumushwe kama Madeni Kipande tu, wee na Phd yako unaendekeza udini kama imamu wa Kwa Mtogole? Hio ndio serikali, indirect obstruction and its best! Kila la kheri!
 
Waislamu wanajua haki zao na kuzipigania kadiri wawezavyo .Si wanafiki wasiporidika wanasema bila kuongopa.Wakristu wanafiki wasiporidhika husemea chini ya meza.Utawala ulipopita kulikuwa na ulalamishi mkubwa kwenye teuzi mbali mbali na wengi walidai waislam wamekuwa wakipendelewa lakini Hakuna aliyepinga kwenye gazeti si la dini wala la ki jamii.Utakuta wanalalamika lalamika kwa chini chini.Kwa waislam nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi.Kwa hili huwa nawapongeza Sana.
Hamna mkuu hawa jamaa ni wa hovyo sana, ukisema kila mtu awe na hulka za nyeupe nyepe na nyeusi nyeusi TUTAFIKAAA...?
HII DUNIA INA MICHANGANYO MINGI NA NI VERY COMPLEX SASA SHIDA YA WAISLAM WANATAKA KUENDESHA DUNIA KAMA WANAVOTAKA WAO KITU AMBACHO NI IMPOSSIBLE.
Tatzo hawataki kukubaliana na imani za wenzao, wanataka yao ndo ikubaliwe.

Kwamba wanaonewa si kweli mbona alivokamata nchi mkwere wasiseme kakamata magu wanachonga, sasa wanataka wao tu ndo wasikilizwe... That is rubbish..
Pia wajitahidi kichapa kazi na kujielimisha na sio kulalamika wakati wanakaa kutwa nzima kucheza bao na kwenda kwa waganga...
 
Back
Top Bottom