Dkt. Dau afitinishwa na JPM

Dkt. Dau afitinishwa na JPM

labda nssf ni taasisi ya kiislaam kama bakwata, etc... halafu dau naye, kwanini asikatae tu huo uteuzi uliowaudhi confidants wake?
 
Hivi ni kwa nini maislamu wanapenda kuona kuwa wanaonewa wakati wote?? Mbona sijawahi kusikia mkristo hata siku moja akilalamika kwnye mambo ya kipuuzi kama haya?

Hii dini ni janga jaman
Mbona mnamlalamikia dau kila siku
 
haya yote kisa dau ni muislam,waislam wanapenda kutengeneza mazingira ya kuobekana kuonewa hii sio poa kabisa mnatengeneza chuki uraiani
 
hivi ingekuwa waleta mada na wachangiaji mnakutana uso kwa uso....naona pangechimbika...maana naona jinsi watu walivyosimamisha mishipa ya shingo
 
Vijana laleni mmpate afya, huu unafiki na uchochezi, hautamiletea kula. Note mnatumiwa kama vibaraka, wanaofaidi ni wajanja na bila kujali dini wana kula pamoja.
 
Dr, Dau aseme yeye mwenyewe. Asiache watu wengine wamsemee. Hata kama ameliendesha shirika hila kwa ufanisi wa hali ya juu, sio sababu ya yeye kuendelea kuwepo hapo. Yeye ni binadamu, anaweza kuugua na akapoteza uhai. Haiwezekani NSSF iwe ni Dr. Dau na Dr. Dau awe NSSF. Pia kwakuwa ameshatumikia kwa miaka zaidi ya 20, ni wakati wa kuwapisha watu wengine wenye maono tofauti. Mfano wengine tunashangaa kwanini wachangiaji wa NSSF hawakopeshwi na NSSF wanaachwa wakakope kwenye mabenki ya biashara kwa riba ya hadi 23% wakati hela zipo zao zipo NSSF kila siku zinajenga majengo.

Iwapo ataruhusu watu 'wake' wamsemee, basi itadhihirisha yale yaliyokuwa yakisemwa mtaani kuwa yupo pale kwa maslahi ya 'watu wake'. Mtu mwenye elimu na uzoefu wa Dr. Dau, sio wa kupigiwa debe na magazeti haya mawili.
 
Huyu dau ni jipu alimzunguka msikitini kuomba support eti magufuli anamchukia hivyo atamuondoa nssf kwa visa.misikiti yote alipita akishirikiana na jamaa mmoja toka kondoa,taarifa zote jpm anazo,sasa ndo magazeti yanatafuta sympathy kwa jamii kwa mwavuli wa uislamu
 
Kesho wataandika... waislam wafelishwa kdt cha 4 na Ndalichako...

Hawa jamaa!!??
 
Huyu dau ni jipu alimzunguka msikitini kuomba support eti magufuli anamchukia hivyo atamuondoa nssf kwa visa.misikiti yote alipita akishirikiana na jamaa mmoja toka kondoa,taarifa zote jpm anazo,sasa ndo magazeti yanatafuta sympathy kwa jamii kwa mwavuli wa uislamu
mimi sina hkika na hicho unachosema kinawezekana kikawa kweli au si kweli
 
MBA,CPA(T),bado unasubiri kuajiriwa tena na NSSF?,fungua Auditing firm weweeee,alaaaah
asante kwa ushauri wako mzuri, mimi nililikuwa namjibu huyo jamaa, maofisni watu mara nyingi upewa kazi kwa kujuana na sio dini ,iwe nssf au pengine( ingawa sio mashirika/makampuni yote)
 
View attachment 324013 View attachment 324014

Leo magazeti mawili ya "IMAAN" na "AL-HUDA" yamekuja na vichwa vya habari vinavyomuhusu aliyekuwa DG wa NSSF Dkt.Ramadhan Dau kuwa anaonewa na kufitinshwa kwa kuondolewa kwenye sherika hilo la hifadhi ya Jamii wakati alikuwa amebakia miaka michache tu astaafu.
Gazeti hilo linasema licha ya uteuzi wa Dr Dau kuelezwa kuwa una tija kwa Taifa na kuimarisha uhusiano wa Tz na nchi za nje,lkn umedunisha uwakilishi wa Waislamu katika utendaji wa serikali hapa nchini.
"Tumezidi kuisha serikalini,wengine wanapelekwa nje ya nchi.Sisi ni wengi katika wale wanaoitwa majipu,lkn katika wanaoteuliwa kama si wachache basi hatumo kabisa,ukichunguza ni kama huu utumbuaji majipu unatulenga sisi" ..limeandika Gazeti la Al-Huds likimnukuu Bwana Haji mfanyakazi wa serikali.

"Dr Dau angemalizia tu kipindi chake,ameitoa mbali toka NPF iliyokuwa taabani mpaka NSSF yenye miradi lukuki,ilikuwa apewe shirika au taasisi nyingine ya kuongoza hapa nchini ili awajibike kama alivyowajibika NSSF".Gazeti hilo limedai kama kumtumia kidiplomasia basi angetumiwa baada ya kustaafu lkn sio kumuondoa sasa,nafasi ambayo itakuwa ngumu kwa mtu mwingine kuziba pengo la Dr Dau,gazeti linaendelea kusema kuwa teuzi hiyo ni chuki dhidi ya imani fulani na kuwepo na hali ya kuimarisha mfumo ili imani fulani iendelee kuwa katika sehemu ya maamuzi.
"Aliikuta NPF iliyotegemewa makato yasiyodaiwa ya "cane carters" ambao walikuwa wafanyakazi wa muda wa viwanda vya sukari vikiwemo vikampuni na taasisi za watu binafsi,chini ya Dr Dau shirika lilifanikiwa kuwa na miradi mikubwa kama daraja la kisasa la Kigamboni,mradi wa makazi katika eneo la Dege Beach huko Kigamboni,mradi wa nyumba za Kiluvya,mradi wa nyumba za makazi za Mtoni Kijichi,Mradi wa kituo cha Michezo kwa Ushirikiano na Club ya Real Madrid na pia NSSF ilishiriki ktk ujenzi wa Chuo Kikuu Dodoma.Kutokana na ufanisi huu Rais Mkapa aliwahi mtunuku cheti cha usimamizi na utendaji bora ktk kipindi cha uongozi wake wa shirika hilo


PIGENI KAZI, ACHENI KULIALIA
 
Mlu
asante kwa ushauri wako mzuri, mimi nililikuwa namjibu huyo jamaa, maofisni watu mara nyingi upewa kazi kwa kujuana na sio dini ,iwe nssf au pengine( ingawa
sio mashirika/makampuni yote)[/QUOT

Unachoongea ni sahihi kabisa mkuu,nishawahi kufanya intavyuu za hao jamaa tena hadi level ya oral miaka kama mitatu ya nyuma,hakina nakuambia sikuona swali lolote gumu na kazi nimekosa,nikawa najiuliza hawa jamaa wanaajiri kwa kutumia vigezo gani,so i conquer na wewe kuwa lazima uwe na mtu anayekujua,ile kazi hadi lei inaniuma sana kwani salaru yake si haba
 
Mawazo yako kutukana dinj za wenzako,wewe Una uhakika gani Kama dini yako ni bora zaidi ya mwenzako,ikiwa wote tumezaliwa na kuzikuta,Nani alimuona yesu au muhamadi zaidi kusoma vitabu

Dau hakupewa kazi NSSF kwasababu alikuwa muislam, alipewa hiyo kazi kwakudhaniwa kuwa angelinda fedha za wafanyakazi!!! Nenda UDOM ukaone quality ya majengo yaliyofadhiliwa na NSSF yalivyojengwa chini ya viwango; matokeo ya kuchukua 10% huku majengo yanapata nyufa ndani ya miaka miwili!!
 
Mimi naunga nkono hayo magazeti yote kwani kwenye makala ya gazzete la raia mwema Prof. Kitila mkumbo alitahadharisha juu ya jambo hilo, pamoja na uwino kikanda na jinsia pia!
Huko ndiyo kuisoma namba kama ulikuwa hujui! Mi'nasema wacha waisome namba eeh!
 
La muhimu ni kuanza kupima baada ya Dau NCCF WATAFANYA NINI CHA MAANA......

Marais wa kiislamu wanakuaga wamezubaa sana,cheki wenzao wanavyofanya kweli,mtaisha serikalini atabakia majaliwa peke yake,ha ha ha ha
 
Unadhani kwanini maaskofu huwa wanahaha sana ukifika uchaguzi mkuu.......?
 
Kama mtoa Uzi huu kafanya utafiti na kagundua kuwa sehemu zote zilizokuwa zimeshikwa na Waislam sasa zinatolewa kwa Wakristo je kuna ubaya gani hapo?

Au alitaka sehemu hizo zishikwe na waislam milele,, kama mwanzo nafasi ilishikwa na Mwislam na sas inashikwa na mkristo hakuna ubaya wowote hapo,,

Mbona wakati nafasi hizo wanateuliwa Waislam kuzishika ,Wakristo mbona hawakulalamika.

Magazeti kama haya hayafai kuendelea kuwepo,, yanasambaza Chuki kwa watz, badala ya kuwaunganisha.

Labda atuambie ni nafasi zipi zimetengwa kwa ajili ya waislamu tu, na sasa nafac hizo zinaporwa na kupewa wakristo.

Mtoa Uzi huu kajawa na Udini hayo magazeti ni bora yakajikita zaidi ktk kuelimisha waumini wao juu ya Imani yao badala ya kujihusisha na haya MAJIPU,,
 
Back
Top Bottom