Dkt. Dau afitinishwa na JPM

Dkt. Dau afitinishwa na JPM

Ya kutosha ni ipi? Kukataa nssf kwamba hapana matatizo ya udini wew utakuwa mgonjwa. Asilimia 80 pale wafanyakazi ni waislamu. Kesho fika nssf kinondoni hapo anzia kwa receptionist hadi yule wa juu utaona ni dini gani. Jipu lile tena limeoza sana
ok, kwa hiyo shirika likiwa na wafanya kazi asilimia 80 wa dini inayofanana hapo kutakuwa na udini ?
 
...haya magazeti yanaweza kuwa na hoja....Ila kuna kitu nakiona kati ya JPM na Dr. Dau....naona kuna ka ushkaji kamejificha kati yao...na naweza kuhusisha hii kitu na mahusiano yao kikazi....kumbuka JPM alikuwa waziri wa ujenzi wakati Dau akiwa NSSF...na hawa NSSF wamefanya miradi mingi ya ujenzi TZ....ikiwemo daraja la kigamboni na hata udom....na kwa mantiki hii lazima hawa jamaa walifanya kazi pamoja...kila mtu kwa nafasi yake...mmoja akiwa boss wa ujenzi(JPM)na mwingine akiwa boss wa NSSF....


..naona kuna bond kubwa walijenga kwenye mahusiano yao kikazi ......kiasi cha sasa JPM kumpa shavu la ubalozi Dau.....pamoja na kelele kibao dhidi ya Dau.....Naona muendelezo wa kulipana fadhila kwa kiwango kikubwa kwenye awamu ya JPM pia....kama ilivyokuwa kwa mkwere....kila mtu na watu wake....nepotism will never end in TZ...
 
ok, kwa hiyo shirika likiwa na wafanya kazi asilimia 80 wa dini inayofanana hapo kutakuwa na udini ?
Hata wew nakushangaa ulikosaje. Huenda ilishindikana kabisa kubebwa kutokana na uwezo wako mdogo kabisa. Lakini Hamad Hassan Mohammed Lipilapila hawezi kukosa kazi. I doubt with your capacity
 
"Boko haramu" Hivi ikitokea na yule mkaguzi Wa mahesabu akatumbuliwa,kwa ufisadi ulioanikwa humu JF.? Au ndio wataandamana na madufu barabarani, maana wataona hata wakiandika ujumbe hautafika. Mtu atapewa Kazi kutokana na uadilifu wake na uwezo wake. Dini,kanda,mkoa,kabila au undugu sio kigezo. Namuomba Mh. Rais achape Kazi aachane na wasiojitambua. Au wanatumika na mafisadi kumpoteza maboya asiwashughulikie majizi. Maana wenzetu kutumika si jambo la ajabu. Tumbua jipu hapana jali Mkuu.
 
Hata wew nakushangaa ulikosaje. Huenda ilishindikana kabisa kubebwa kutokana na uwezo wako mdogo kabisa. Lakini Hamad Hassan Mohammed Lipilapila hawezi kukosa kazi. I doubt with your capacity
mbona haujajibu hoja ?
 
Dau ni jipu kama aliyemteua mwanzo alivyokuwa jipu. Magufuli tumbua tu hayo majibu dini zao zikalielie huko mbele. Watu wabovu wote wanaondolewa na serikali iliyokuwa imewaweka mbovu sana ilishaondoka. Tunajua kuna walalamishi imani dunia nzima. Wakristo hawana muda wa kulalamika dunia nzima. Kuna dini yenyewe inaonewa dunia nzima
 
KwaMBA au angepewa shirika jingine nchini kuongoza". Hii sentensi inatia shaka. Kuna shutuma kwamba dau alikua mdini sana na alipenda kuajiri waislamu Kwa asilimia kubwa. Sasa naanza kuamini. Kwamba angepewa shirika jingine nchini badala ya kupelekwa nje ili aendelee kuajiri waislamu zaidi? Waislamu ni watu mnaopenda sana udini sijui Kwa nini
 
Waislamu wanajua haki zao na kuzipigania kadiri wawezavyo .Si wanafiki wasiporidika wanasema bila kuongopa.Wakristu wanafiki wasiporidhika husemea chini ya meza.Utawala ulipopita kulikuwa na ulalamishi mkubwa kwenye teuzi mbali mbali na wengi walidai waislam wamekuwa wakipendelewa lakini Hakuna aliyepinga kwenye gazeti si la dini wala la ki jamii.Utakuta wanalalamika lalamika kwa chini chini.Kwa waislam nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi.Kwa hili huwa nawapongeza Sana.
Nyeupe ni nyeupe kama kanzu na nyeusi ni nyeusi kama hijab, acheni kulalamika, kapigeni kitabu.
 
Huo muda uliobaki akamalizie Saudi Arabia au Afghanistan eti kaitoa mbali nssf wamezoea kupeana kazi kwa kuangalia kanzu kama huvai kanzu na ninja nssf hata field hipati akafie mbali huyo gaidii
 
Waislamu wanajua haki zao na kuzipigania kadiri wawezavyo .Si wanafiki wasiporidika wanasema bila kuongopa.Wakristu wanafiki wasiporidhika husemea chini ya meza.Utawala ulipopita kulikuwa na ulalamishi mkubwa kwenye teuzi mbali mbali na wengi walidai waislam wamekuwa wakipendelewa lakini Hakuna aliyepinga kwenye gazeti si la dini wala la ki jamii.Utakuta wanalalamika lalamika kwa chini chini.Kwa waislam nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi.Kwa hili huwa nawapongeza Sana.



Waislamu wanachodai ni upendeleo sio haki wakisahau wanasoma shule za wakristu na wanatibiwa hospitals za wakristu bado wanamung'unika wajenge zao basi!!!tatizo nini
???? Hta chuo chao cha morogoro kimekufa soku hizi
 
Teuzi zote za Jk zilikuwa zinajadiliwa humu kidini, wacheni watu waseme ukweli, awamu hii ni awamu imejaa ukabila na udini uliopitiliza'


We mmezoea kudanganyana vijiwe vya kahawa embu wataje wakurugenzi waliotumbuliwa na dini zao ili tupate ulweli
 
Kilicho muhimu ni kwenda shule kadri iwezekanavyo. Hizi kelele za udini huficha inferiority complex anayokuwa nayo mtu baada ya kumtazama yule yule aliyekuwa classmate wake akiwa tayari keshayatoa maisha halafu yeye dakika zinayoyoma na sio yanga wala sio simba. Hali ya mtu kujiona duni husababisha hasira za kidini, na hata yule ambaye kanisani au misikitini anawajaza waumini wake akili za uhasama na visasi, na yeye akichunguzwa sana atakutwa tatizo lake ni hali ya kujiona mdogo anapojilinganisha na wale watu wa rika lake.

Siungi mkono udini wala ukabila, kwani madhara yake kila siku ninayaona kupitia runinga. Siungi mkono vichwa vya habari vya kwenye majarida ambavyo vinataka kuchochea hasira na vinyongo miongoni mwa wasomaji wa dini husika. Unaishi na mtu wa afrika ya magharibi kwenye hosteli fulani Ulaya, halafu anatusifia Watanzania kwa jinsi tulivyokuwa wastaarabu na wakarimu, masikini ya Mungu hajui kuwa sisi kwa sisi tunatazama kwa uhasama, wakati dini hizi mbili zinazotugombanisha zimeletwa na watu waliokuja na majahazi enzi hizo wakati ndege bado hazijagunduliwa. Leo hii tunajifanya tunazijua sana dini hizi kuliko hata hao waliozileta kwetu.

Tubadilike waungwana wenzangu, hizi dini zimeletwa nchini mwetu kama vile teknolojia mbalimbali za kisasa zinavyoletwa.
 
View attachment 324013 View attachment 324014

Leo magazeti mawili ya "IMAAN" na "AL-HUDA" yamekuja na vichwa vya habari vinavyomuhusu aliyekuwa DG wa NSSF Dkt.Ramadhan Dau kuwa anaonewa na kufitinshwa kwa kuondolewa kwenye sherika hilo la hifadhi ya Jamii wakati alikuwa amebakia miaka michache tu astaafu.
Gazeti hilo linasema licha ya uteuzi wa Dr Dau kuelezwa kuwa una tija kwa Taifa na kuimarisha uhusiano wa Tz na nchi za nje,lkn umedunisha uwakilishi wa Waislamu katika utendaji wa serikali hapa nchini.
"Tumezidi kuisha serikalini,wengine wanapelekwa nje ya nchi.Sisi ni wengi katika wale wanaoitwa majipu,lkn katika wanaoteuliwa kama si wachache basi hatumo kabisa,ukichunguza ni kama huu utumbuaji majipu unatulenga sisi" ..limeandika Gazeti la Al-Huds likimnukuu Bwana Haji mfanyakazi wa serikali.

"Dr Dau angemalizia tu kipindi chake,ameitoa mbali toka NPF iliyokuwa taabani mpaka NSSF yenye miradi lukuki,ilikuwa apewe shirika au taasisi nyingine ya kuongoza hapa nchini ili awajibike kama alivyowajibika NSSF".Gazeti hilo limedai kama kumtumia kidiplomasia basi angetumiwa baada ya kustaafu lkn sio kumuondoa sasa,nafasi ambayo itakuwa ngumu kwa mtu mwingine kuziba pengo la Dr Dau,gazeti linaendelea kusema kuwa teuzi hiyo ni chuki dhidi ya imani fulani na kuwepo na hali ya kuimarisha mfumo ili imani fulani iendelee kuwa katika sehemu ya maamuzi.
"Aliikuta NPF iliyotegemewa makato yasiyodaiwa ya "cane carters" ambao walikuwa wafanyakazi wa muda wa viwanda vya sukari vikiwemo vikampuni na taasisi za watu binafsi,chini ya Dr Dau shirika lilifanikiwa kuwa na miradi mikubwa kama daraja la kisasa la Kigamboni,mradi wa makazi katika eneo la Dege Beach huko Kigamboni,mradi wa nyumba za Kiluvya,mradi wa nyumba za makazi za Mtoni Kijichi,Mradi wa kituo cha Michezo kwa Ushirikiano na Club ya Real Madrid na pia NSSF ilishiriki ktk ujenzi wa Chuo Kikuu Dodoma.Kutokana na ufanisi huu Rais Mkapa aliwahi mtunuku cheti cha usimamizi na utendaji bora ktk kipindi cha uongozi wake wa shirika hilo
Mkiambiwa mle NGURUWE MWONGEZEE UFAHAMU AMTAKI

MBONA AMKULIA HOSEA ANATOKA

MASAMAKI MKRISTO YULE...EEH SIO HUKO TU TUNAANZA KUKAGUA MABARAZA YOTE YA DINI NA MIZIGO YOTE INAUOLETWA AMWEZI BARAZA KUTUAMBIA MNALETA SEMITRELA MNAOMBA MSAADA WA USHURU MKABEBEE TENDEE AMA NINI..

MH RAIS PELEKA TRA MABARAZA YA KIKRISTO NA KIISALAM YAKAGULIWE NA VITU VINAVYOLETWA
 
Niwape sehemu mnaweza pata nguruwe mbichi lakini being nzuei tankibovu ukifika bp ulizeni KWA mzee Wa ngroo
Kwingine KMR mwisho ulizeni massawe Wa kiiiitmoto buku sits TU unaenda fyonza
 
waislamu wanaonewa katika teuzi za sasa na utumbuliwaji majipu. Ni kama serekali inaegemea upande wa dini fulani na kuona waislamu ndio majipu.
 
Huyu na wale wengine ni majipu wanatumbuka kwa hofu na usaha ulio oza.
 
This is silly; kwani Dau alikuwa NSSF kwa niaba ya kuwatumikia watu wa imani moja? Wakati mwingine tutende haki tu; Dau alikuwa ni mtumishi wa umma na taifa lake linataka kumtumia mahali pengine tatizo liko wapi? Binafsi ningekuwa na uchaguzi ningempeleka Dau Bandari kule.
 
Back
Top Bottom