Olumolongez
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 818
- 299
Serikali haina nyie watu wa hayo magazeti, inaonekana mmekosa cha kuandika sasa mnaandika namba ya udini tu.
"Tumezidi kuisha serikalini,wengine wanapelekwa nje ya nchi.Sisi ni wengi katika wale wanaoitwa majipu,lkn katika wanaoteuliwa kama si wachache basi hatumo kabisa,ukichunguza ni kama huu utumbuaji majipu unatulenga sisi" ..limeandika Gazeti la Al-Huds likimnukuu Bwana Haji mfanyakazi wa serikali.
Hivi ni kwa nini maislamu wanapenda kuona kuwa wanaonewa wakati wote?? Mbona sijawahi kusikia mkristo hata siku moja akilalamika kwnye mambo ya kipuuzi kama haya?
Hii dini ni janga jaman
Ndefu namna hii ,,Dini ni imani, inakwenda zaidi ya miili na ulimwengu huu tunaouona. Siyo sawa na ushabiki wa vilabu vya mipira ama itikadi za kisiasa. Ni maisha halisi na bahati mbaya ambayo yanaendelea hata baada ya mtu kufa hapa duniani.
Angalia sana. Dini zinauaasisi wake katika ulimwengu wa roho. Imani zinaongozwa kutoka dunia nyingine isiyopimwa kwa circular educations ama ideologies. Na ndiyo sababu serikali makini ni marufuku kuingiza mambo za imani katika serikali ambazo ni za watu wengi ili kila mtu akifa apaate alichokichagua kwa utashi wake bila kusema alilazimishwa na serikali. Kwa manatiki hiyo, usije kushangaa kwa sababu kila dini ina roho yake inayoitumikia na kuipa msukumo. Yanyoonekana hapa duniani ni dalili za wazi juu ya roho zinazoongoza haya maimani. Tazama, unategemea kwa mfano kupata kipi chema kwa watu waliokolea
kuabdu shetani ambaye kweli ni shetani, lakini wao wanamwita mungu na kwa kujua hana uwezo wako tayari kuvaa mabomu, kubeba mapanga na kuua watu kwa kumpigania mungu wao ambaye ni shetani. Kama ni Mungu kwa nini asijipiganie hadi alazike kulindwa kwa mapanga? Kichwa cha naman hii unategemea kina jema?
Pale ambapo watu wanafanya dhambi ya mauaji, uasherati, ubakaji, uwongo, ufiraji, usingiziaji huku wakikiri kwamba eti mungu wao ndiye anawatuma. na bado wanajihesabia haki wakiwa tayari kufa eti wakifa wataenda kuzimu wakaendeleze zinaa na uasherati!. Bado hawa ni watu wa kawaida?
Watu ambao wanahubiri amani huku wakiamini katika visasi, mauaji na kutokusameheana huku wakisingiziana kwa jina la mungu asiyejulikana, unategmea wana utu wa kuelewa lolote lile?
Unashangaa kuona leo watu wengine wanashangaa kuwa kuna majipu hata wanapoonyeshwa dhahiri hasara majipu hayo yamesabbisha kwa taifa lakini kwa kuwa ufahamu wao si wa binadamu hai, hawaeelewi.
Binadamu wa kawaida angeona hay akwa aibu zinazoibuliwa ambazo washiriki wakee wahahitajika kuwajibishwa. Lakni mtu asiye w akawaida, anaona wasiwajibishwe kwa kuwa wanafanana naye bila kuangalia wanawajibishwa kwa kosa lipi.
Mfano wa mtu mwingine anayewaza kinyume na binadamu ni yule anayepiga kelele kwamba nssf imestawi na ni imara wakati hali halisi ni kwamba shirika hilo liko hoi na bila akili linakwnda kufa.
Mtu pamoja na kuona wazi jinsi dini yake walilyobebwa kipindi kilichopita na walipolipeleka taifa ahdi sasa kilio kila mahala, bado analazimisha yael yale yaendelee. Naomba ujue si kila unayemwona kavaa makubasi ni binadamu.
Imani ni vitu tofauti. Acheni imani zibaki kwa watu lakini zisiingie serikali kwa sababu ni janga la dunia.
Tumeyaona kwa macho pale. Anaye mtetea Dau ana matatizo ya figo sio bureHuo muda uliobaki akamalizie Saudi Arabia au Afghanistan eti kaitoa mbali nssf wamezoea kupeana kazi kwa kuangalia kanzu kama huvai kanzu na ninja nssf hata field hipati akafie mbali huyo gaidii
Hawana huo ubavu .Hili gazeti lingefungiwa
Huo muda uliobaki akamalizie Saudi Arabia au Afghanistan eti kaitoa mbali nssf wamezoea kupeana kazi kwa kuangalia kanzu kama huvai kanzu na ninja nssf hata field hipati akafie mbali huyo gaidii
nssf full udini hili halina usiri ni wazi tembea ofisi zote ikifika ijumaa saa sita au saba hakuna mtu ofisini watarudi saa 8 na wachache tu .kwa hiyo mm ckuelewa ilikuwaje ikafikia hapo ofisi kuwa na 80% wtumishi nchi nzima waisalamu haiwezi tokea hivyo by coincidence bu intentinally and planned to be like that for this past ten years
View attachment 324013 View attachment 324014
Leo magazeti mawili ya "IMAAN" na "AL-HUDA" yamekuja na vichwa vya habari vinavyomuhusu aliyekuwa DG wa NSSF Dkt.Ramadhan Dau kuwa anaonewa na kufitinshwa kwa kuondolewa kwenye sherika hilo la hifadhi ya Jamii wakati alikuwa amebakia miaka michache tu astaafu.
Gazeti hilo linasema licha ya uteuzi wa Dr Dau kuelezwa kuwa una tija kwa Taifa na kuimarisha uhusiano wa Tz na nchi za nje,lkn umedunisha uwakilishi wa Waislamu katika utendaji wa serikali hapa nchini.
"Tumezidi kuisha serikalini,wengine wanapelekwa nje ya nchi.Sisi ni wengi katika wale wanaoitwa majipu,lkn katika wanaoteuliwa kama si wachache basi hatumo kabisa,ukichunguza ni kama huu utumbuaji majipu unatulenga sisi" ..limeandika Gazeti la Al-Huds likimnukuu Bwana Haji mfanyakazi wa serikali.
"Dr Dau angemalizia tu kipindi chake,ameitoa mbali toka NPF iliyokuwa taabani mpaka NSSF yenye miradi lukuki,ilikuwa apewe shirika au taasisi nyingine ya kuongoza hapa nchini ili awajibike kama alivyowajibika NSSF".Gazeti hilo limedai kama kumtumia kidiplomasia basi angetumiwa baada ya kustaafu lkn sio kumuondoa sasa,nafasi ambayo itakuwa ngumu kwa mtu mwingine kuziba pengo la Dr Dau,gazeti linaendelea kusema kuwa teuzi hiyo ni chuki dhidi ya imani fulani na kuwepo na hali ya kuimarisha mfumo ili imani fulani iendelee kuwa katika sehemu ya maamuzi.
"Aliikuta NPF iliyotegemewa makato yasiyodaiwa ya "cane carters" ambao walikuwa wafanyakazi wa muda wa viwanda vya sukari vikiwemo vikampuni na taasisi za watu binafsi,chini ya Dr Dau shirika lilifanikiwa kuwa na miradi mikubwa kama daraja la kisasa la Kigamboni,mradi wa makazi katika eneo la Dege Beach huko Kigamboni,mradi wa nyumba za Kiluvya,mradi wa nyumba za makazi za Mtoni Kijichi,Mradi wa kituo cha Michezo kwa Ushirikiano na Club ya Real Madrid na pia NSSF ilishiriki ktk ujenzi wa Chuo Kikuu Dodoma.Kutokana na ufanisi huu Rais Mkapa aliwahi mtunuku cheti cha usimamizi na utendaji bora ktk kipindi cha uongozi wake wa shirika hilo
hiyo ya kusilim ili upate nafasi sio ukweli, mimi mwislam nilishaomba kazi mara nyingi NSSF lakini hata kwenye interview sijahitwa tena nina elimu ya kutosha
Dau hakupewa kazi NSSF kwasababu alikuwa muislam, alipewa hiyo kazi kwakudhaniwa kuwa angelinda fedha za wafanyakazi!!! Nenda UDOM ukaone quality ya majengo yaliyofadhiliwa na NSSF yalivyojengwa chini ya viwango; matokeo ya kuchukua 10% huku majengo yanapata nyufa ndani ya miaka miwili!!
Infiriority complex, walio wengi kichwani wamejaza mistari ya Elimu Ahela, kwahiyo suala lolote linalotakiwa itumike Elimu dunia kidogo wanakua kama watoto wadogo, ni kulialia tu, Nahisi wanatamani hata kungekua na Wizara ya kupambania maslahi yao.Hivi ni kwa nini maislamu wanapenda kuona kuwa wanaonewa wakati wote?? Mbona sijawahi kusikia mkristo hata siku moja akilalamika kwnye mambo ya kipuuzi kama haya?
Hii dini ni janga jaman
Infiriority complex, walio wengi kichwani wamejaza mistari ya Elimu Ahela, kwahiyo suala lolote linalotakiwa itumike Elimu dunia kidogo wanakua kama watoto wadogo, ni kulialia tu, Nahisi wanatamani hata kungekua na Wizara ya kupambania maslahi yao.