Dkt. Dau afitinishwa na JPM

Dkt. Dau afitinishwa na JPM

Mawazo yako kutukana dinj za wenzako,wewe Una uhakika gani Kama dini yako ni bora zaidi ya mwenzako,ikiwa wote tumezaliwa na kuzikuta,Nani alimuona yesu au muhamadi zaidi kusoma vitabu.
Nimeongea hvyo kwa sababu nyie mmezidi na hayo mambo yenu , kila siku kulalamika , mnasema mnaonewa duniani kote , fujo nyie , magaidi , vita , ukatili na unyama , ujinga , na mengine ntazidi kuyataja. Huoni tu kuwa ni janga?
 
Dau ni jipu raisi kamsaidia kumteua balozi angelitumbua jipu lake pasingekalika, ana utajiri ambao ameshindwa kuutolea maelezo
 
Kwani Masamaki, yule wa tra, hossea, hawa wa bodi ya mikopo waliotumbuliwa juzi ni dini gani. Embu niambieni na mimi nione kama kuna wa dini yangu nianze kulalalamika na mie
 
View attachment 324013 View attachment 324014

Leo magazeti mawili ya "IMAAN" na "AL-HUDA" yamekuja na vichwa vya habari vinavyomuhusu aliyekuwa DG wa NSSF Dkt.Ramadhan Dau kuwa anaonewa na kufitinshwa kwa kuondolewa kwenye sherika hilo la hifadhi ya Jamii wakati alikuwa amebakia miaka michache tu astaafu.
Gazeti hilo linasema licha ya uteuzi wa Dr Dau kuelezwa kuwa una tija kwa Taifa na kuimarisha uhusiano wa Tz na nchi za nje,lkn umedunisha uwakilishi wa Waislamu katika utendaji wa serikali hapa nchini.
"Tumezidi kuisha serikalini,wengine wanapelekwa nje ya nchi.Sisi ni wengi katika wale wanaoitwa majipu,lkn katika wanaoteuliwa kama si wachache basi hatumo kabisa,ukichunguza ni kama huu utumbuaji majipu unatulenga sisi" ..limeandika Gazeti la Al-Huds likimnukuu Bwana Haji mfanyakazi wa serikali.

"Dr Dau angemalizia tu kipindi chake,ameitoa mbali toka NPF iliyokuwa taabani mpaka NSSF yenye miradi lukuki,ilikuwa apewe shirika au taasisi nyingine ya kuongoza hapa nchini ili awajibike kama alivyowajibika NSSF".Gazeti hilo limedai kama kumtumia kidiplomasia basi angetumiwa baada ya kustaafu lkn sio kumuondoa sasa,nafasi ambayo itakuwa ngumu kwa mtu mwingine kuziba pengo la Dr Dau,gazeti linaendelea kusema kuwa teuzi hiyo ni chuki dhidi ya imani fulani na kuwepo na hali ya kuimarisha mfumo ili imani fulani iendelee kuwa katika sehemu ya maamuzi.
"Aliikuta NPF iliyotegemewa makato yasiyodaiwa ya "cane carters" ambao walikuwa wafanyakazi wa muda wa viwanda vya sukari vikiwemo vikampuni na taasisi za watu binafsi,chini ya Dr Dau shirika lilifanikiwa kuwa na miradi mikubwa kama daraja la kisasa la Kigamboni,mradi wa makazi katika eneo la Dege Beach huko Kigamboni,mradi wa nyumba za Kiluvya,mradi wa nyumba za makazi za Mtoni Kijichi,Mradi wa kituo cha Michezo kwa Ushirikiano na Club ya Real Madrid na pia NSSF ilishiriki ktk ujenzi wa Chuo Kikuu Dodoma.Kutokana na ufanisi huu Rais Mkapa aliwahi mtunuku cheti cha usimamizi na utendaji bora ktk kipindi cha uongozi wake wa shirika hilo
Haya magazeti ya kufungia maandazi yanapaswa kufutwa kabisa na siyo kuyafungia! Watu wenye mitazamo ya kidini kwenye mambo yanayomhusu mama Tanzania hawapaswi kufumbiwa macho. Ni mapema sana kuanza kuingiza propaganda za kidini kwenye serikali ya Dr John Pombe Magufuli. Muwe na kumbu kumbu vizuri ninyi watu wakati wa mkapa mlilalamika sana sana, akaja kikwete mkawa kimya sasa ameingia Dr John Pombe magufuli mmeanza tena mapema kabisa wakati ndiyo kwanza amefikisha siku 102 tangu aingie madarakani. Mbona wakati Rais na makamu wake ni waislamu hamkulalamika wakati wa kikwete na Gharibu Bilali? Mimi nafikiri hawa wamekosa hoja za msingi za kusimamia inchi hii haina dini wala haiongozi kwa katiba za kidini na katiba yetu iko bayana kabisa pamoja na mapungufu yake mengi.
Acheni propaganda za kidini nyie watu. Ebu ngoja niwaambie ukweli, si kweli kwamba Zanzibar wote ni waislam hata wakisto wapo tena ni wengi sana wanafanya kazi kule ebu nitajieni wakristo watatu kwenye Balaza la mawaziri serikali ya mapinduzi ya zanzibar! Kwahiyo ule si ubaguzi si ndiyo? Sasa nafikiri tuwe kimya tusiingize itikadi zetu kwenye mambo ya msingi yanayolihusu taifa.
Mfano mimi ofisini kwangu wakuu wa idara karibu wote ni waislamu na ni taasisi ya umma lakini hakuna mtu mwenye manung'uniko kuwa kwa nini wakuu wote wa idara ni waislamu tunachoangalia ni tija tu kwenye kazi mambo ya dini ni ya kwako na mke wako na watoto nyumbani zaidi sana na Mungu wako
 
Huyu dokta nae ni jipu ilikuwa wa kufungwa jiwe shingoni, magu katumia busara tu kumwacha bila shaka kahofia 'joto la wanazuoni'
 
Dr dau ni jipu kubwa toka kitambo cha muhimu awe balozi Saudi Arabia
Afghanistan
Iraq
Syria
Isis
Libya
Patamfaa sana
 
Watanzania viazi kweli utadhani hiyo miradi ya nssf inawaingizia hela mifukoni mwao. Kweli ujinga ni mzigo.
 
Elizabeth Nzagi, Sunday Richard na Modestus Ndunguru, hao ni maafisa watatu wa TCRA waliopigwa chini na Waziri Makame Mbarawa. Wakristo watatu wamefukuzwa kazi na muislamu mmoja. Halafu kuna watu wakiwa na akili zao timamu kabisa wanadai kwamba nchi hii kuna uonevu wa kidini. Waungwana wenzangu kabla hatujaandika kitu tufikirie kwa undani ili wale wanaotusoma wasitushangae na kutudharau.
 
Dau kakaa kimya watu wanajiongelesha ,kukosa kazi au ufahamu mdogo,Na Nani aliwaambia aliteuliwa kwa misingi ya dini ,Na Nani kawaambia nssf ni ya Dau kwamba hawezi kutoka ,Na matumizi mabaya ndani ya taasisi hiyo mnayajua ? Subirini majipu yake!
 
Hawa jamaa hawatosheki, pm na makamu wote wanatoka kwao lakini baaado tu
 
Huo muda uliobaki akamalizie Saudi Arabia au Afghanistan eti kaitoa mbali nssf wamezoea kupeana kazi kwa kuangalia kanzu kama huvai kanzu na ninja nssf hata field hipati akafie mbali huyo gaidii
Duh!! Kashakuwa gaidi??? Kisa anavaa kanzu? Sasa ndugu hapa si unajidhihirisha kabisa kuwa unamchukia kisa ni Muislam? Hoja zote za apelekwe Afghanistan sijui gaidi... ni nini kama sio kisa ni dini yake?
 
Kiprotokali Balozi ni cheo kikubwa kuliko ukurugenzi sasa sijui wanalalamika nini hawa watu. Kama Dau hakupewa mkataba wa maisha basi ni sawa kama kahamishwa na toka lini dini imekuwa kigezo cha kazi nchini. Sijawahi kuona gazeti hata moja likilalamika kuhusu waislam kutawala kipindi cha mkwere. Haya magazeti ni hatari kwa usalama wa taifa ni bora yakiwajibishwa.
 
Huyu dau ni jipu alimzunguka msikitini kuomba support eti magufuli anamchukia hivyo atamuondoa nssf kwa visa.misikiti yote alipita akishirikiana na jamaa mmoja toka kondoa,taarifa zote jpm anazo,sasa ndo magazeti yanatafuta sympathy kwa jamii kwa mwavuli wa uislamu
naanza kunusa harufu ya udini aliokuwa akipigiwa kelele,,inaonekana bila kuwa na majina yetu yale kupata kibarua hata cha kulinda nssf ilikuwa ni tatizo
 
Kuna report ya madudu ya NSSF.Ukiisoma .Dau anatakiwa afungwe maisha na kutaifishwa kila kitu chake..Ni mpumbavu tu ndie anayeweza kumtetea.
##$$
MANAGEMENT LETTER ON THE AUDIT
OF FINANCIAL STATEMENTS OF
NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF)
FOR THE YEAR ENDED 30 JUNE 2015



PART I AND PART II

OBSERVATIONS ARISING FROM CURRENT YEAR’S
AUDIT AND FOLLOW UP OF PREVIOUS YEARS’ OBSERVATION
#$$$$$
Tafuta hiyo kitu uisome ndo utajua kuwa huyu Dau ni Mjipu wa nguvu.unafaa kutumbuliwa kwa tindo
 
Back
Top Bottom