Dkt. Dau afitinishwa na JPM

Dkt. Dau afitinishwa na JPM

Mtalalama kwelikweli, utadhani mlikuwa mnanufaika na hayo majipu. Kwani walikuwa wanawaletea sadaka kwenye nyumba za ibada?
 
Mtalalama kwelikweli, utadhani mlikuwa mnanufaika na hayo majipu. Kwani walikuwa wanawaletea sadaka kwenye nyumba za ibada?
Kuwa na adabu kwenye Dini za wenzio hukuona wale wenzio(Rugemarila na wenzie) walio kuwa wanatoa sadaka makanisani
 
Kuwa na adabu kwenye Dini za wenzio hukuona wale wenzio(Rugemarila na wenzie) walio kuwa wanatoa sadaka makanisani
Sijataja dini mkuu. Mbona hasira nyingi? Una uhusiano na majipu hayo? Utajiumiza bure, wenzako wanakula maisha.
 
Mawazo yako kutukana dinj za wenzako,wewe Una uhakika gani Kama dini yako ni bora zaidi ya mwenzako,ikiwa wote tumezaliwa na kuzikuta,Nani alimuona yesu au muhamadi zaidi kusoma vitabu.
Kwa maoni yangu...Dini ni matokeo ya utumwa... Wanaowaza kwa mlengo wa kidini...eti dini yetu..dini yao...wanawaza kitumwa...ni watumwa
 
View attachment 324013 View attachment 324014

Leo magazeti mawili ya "IMAAN" na "AL-HUDA" yamekuja na vichwa vya habari vinavyomuhusu aliyekuwa DG wa NSSF Dkt.Ramadhan Dau kuwa anaonewa na kufitinshwa kwa kuondolewa kwenye sherika hilo la hifadhi ya Jamii wakati alikuwa amebakia miaka michache tu astaafu.
Gazeti hilo linasema licha ya uteuzi wa Dr Dau kuelezwa kuwa una tija kwa Taifa na kuimarisha uhusiano wa Tz na nchi za nje,lkn umedunisha uwakilishi wa Waislamu katika utendaji wa serikali hapa nchini.
"Tumezidi kuisha serikalini,wengine wanapelekwa nje ya nchi.Sisi ni wengi katika wale wanaoitwa majipu,lkn katika wanaoteuliwa kama si wachache basi hatumo kabisa,ukichunguza ni kama huu utumbuaji majipu unatulenga sisi" ..limeandika Gazeti la Al-Huds likimnukuu Bwana Haji mfanyakazi wa serikali.

"Dr Dau angemalizia tu kipindi chake,ameitoa mbali toka NPF iliyokuwa taabani mpaka NSSF yenye miradi lukuki,ilikuwa apewe shirika au taasisi nyingine ya kuongoza hapa nchini ili awajibike kama alivyowajibika NSSF".Gazeti hilo limedai kama kumtumia kidiplomasia basi angetumiwa baada ya kustaafu lkn sio kumuondoa sasa,nafasi ambayo itakuwa ngumu kwa mtu mwingine kuziba pengo la Dr Dau,gazeti linaendelea kusema kuwa teuzi hiyo ni chuki dhidi ya imani fulani na kuwepo na hali ya kuimarisha mfumo ili imani fulani iendelee kuwa katika sehemu ya maamuzi.
"Aliikuta NPF iliyotegemewa makato yasiyodaiwa ya "cane carters" ambao walikuwa wafanyakazi wa muda wa viwanda vya sukari vikiwemo vikampuni na taasisi za watu binafsi,chini ya Dr Dau shirika lilifanikiwa kuwa na miradi mikubwa kama daraja la kisasa la Kigamboni,mradi wa makazi katika eneo la Dege Beach huko Kigamboni,mradi wa nyumba za Kiluvya,mradi wa nyumba za makazi za Mtoni Kijichi,Mradi wa kituo cha Michezo kwa Ushirikiano na Club ya Real Madrid na pia NSSF ilishiriki ktk ujenzi wa Chuo Kikuu Dodoma.Kutokana na ufanisi huu Rais Mkapa aliwahi mtunuku cheti cha usimamizi na utendaji bora ktk kipindi cha uongozi wake wa shirik
hizi Dini za kupokea na kumeza zina matatizo yake, pili waislamu punguzeni kulaumu ovyo ovyo Kikwete aliwatetia wengi tu na wengine badala ya kufanya kazi wakaenda kujenga misikiti kwenye taasisi za umma, Hivi huyu Dau yeye ni nani mpaka asitumbuliwe? kama ameharibu ulitaka raisi amuache hata hivyo raisi amemuhurumia kumpa ubalozi ilitakiwa apigwe chini daima, tatu Raisi hateui au hafukuzi kwa kuangalia dini ya mtu bali, hivi waliofukuzwa wote Bandarini ni waislamu? Maimu wa Nida ni muislam au mnamtetea kwa kuwa alijenga msikiti pale NSSF. Raisi tumbua bila kujali dinitu na wala hawa waislam wasilete lawama zao maana wao ni watu wa kulalamika tu.
 
Kumbe dr dau ni miongoni mwa boko haramu? ndo maana naona boko haramu wanaushambulia sana uzi huu
 
View attachment 324013 View attachment 324014

Leo magazeti mawili ya "IMAAN" na "AL-HUDA" yamekuja na vichwa vya habari vinavyomuhusu aliyekuwa DG wa NSSF Dkt.Ramadhan Dau kuwa anaonewa na kufitinshwa kwa kuondolewa kwenye sherika hilo la hifadhi ya Jamii wakati alikuwa amebakia miaka michache tu astaafu.
Gazeti hilo linasema licha ya uteuzi wa Dr Dau kuelezwa kuwa una tija kwa Taifa na kuimarisha uhusiano wa Tz na nchi za nje,lkn umedunisha uwakilishi wa Waislamu katika utendaji wa serikali hapa nchini.
"Tumezidi kuisha serikalini,wengine wanapelekwa nje ya nchi.Sisi ni wengi katika wale wanaoitwa majipu,lkn katika wanaoteuliwa kama si wachache basi hatumo kabisa,ukichunguza ni kama huu utumbuaji majipu unatulenga sisi" ..limeandika Gazeti la Al-Huds likimnukuu Bwana Haji mfanyakazi wa serikali.

"Dr Dau angemalizia tu kipindi chake,ameitoa mbali toka NPF iliyokuwa taabani mpaka NSSF yenye miradi lukuki,ilikuwa apewe shirika au taasisi nyingine ya kuongoza hapa nchini ili awajibike kama alivyowajibika NSSF".Gazeti hilo limedai kama kumtumia kidiplomasia basi angetumiwa baada ya kustaafu lkn sio kumuondoa sasa,nafasi ambayo itakuwa ngumu kwa mtu mwingine kuziba pengo la Dr Dau,gazeti linaendelea kusema kuwa teuzi hiyo ni chuki dhidi ya imani fulani na kuwepo na hali ya kuimarisha mfumo ili imani fulani iendelee kuwa katika sehemu ya maamuzi.
"Aliikuta NPF iliyotegemewa makato yasiyodaiwa ya "cane carters" ambao walikuwa wafanyakazi wa muda wa viwanda vya sukari vikiwemo vikampuni na taasisi za watu binafsi,chini ya Dr Dau shirika lilifanikiwa kuwa na miradi mikubwa kama daraja la kisasa la Kigamboni,mradi wa makazi katika eneo la Dege Beach huko Kigamboni,mradi wa nyumba za Kiluvya,mradi wa nyumba za makazi za Mtoni Kijichi,Mradi wa kituo cha Michezo kwa Ushirikiano na Club ya Real Madrid na pia NSSF ilishiriki ktk ujenzi wa Chuo Kikuu Dodoma.Kutokana na ufanisi huu Rais Mkapa aliwahi mtunuku cheti cha usimamizi na utendaji bora ktk kipindi cha uongozi wake wa shirika hilo
Wataalam wa kulialia na kulalamika wameanza rasmi na bado!
 
Dau kama ni Jipu atumbuliwe tu... Tusihusishe maswala ya dini ktk hili swala.

Dini gani inayoruhusu ufisadi??....
 
Uzuri wa JPM, hutoa sababu kwa kila jipu analotumbua. Nimesoma huu uzi naona hauelezi sababu ya Dau, kutumbuliwa, hivyo nadhani mwandishi hajatoa pande mbili za shilingi. Na hii ndio shida kubwa, na kutokana na hivyo naona bora kumpuuza.
 
sasa hapo hajajui wapi atatupwa, ngoja apelekwe Burundi ndio mtalia mpaka.....
 
Hivi ni kwa nini maislamu wanapenda kuona kuwa wanaonewa wakati wote?? Mbona sijawahi kusikia mkristo hata siku moja akilalamika kwnye mambo ya kipuuzi kama haya?

Hii dini ni janga jaman
walilalamika sana wakati wa kikwete alipojaribu kutoa nafasi chache kwa waislamu, huyu jamaa wa sasa usiposoma seminari serikalini kwake huna bao
 
Mawazo yako kutukana dinj za wenzako,wewe Una uhakika gani Kama dini yako ni bora zaidi ya mwenzako,ikiwa wote tumezaliwa na kuzikuta,Nani alimuona yesu au muhamadi zaidi kusoma vitabu.
Umeuliza swali la muhimu sana...ni nani aliyemwona Yesu au Mtume Muhammad S.A.W, mara nyingine nafikiri hata wazungu na waarabu wanatuona wapumbavu sana kwa kugombana kwa ajili ya dini walizotuletea.
 
faiza foxy huwa napenda sana kuona mchango wako katika mada kama hizi
 
Back
Top Bottom