Dkt. Bashiru Ally pole lakini maneno huumba

Dkt. Bashiru Ally pole lakini maneno huumba


Bashiru mwezi February alikuwa anaishi nyumba ya Katibu mkuu ccm, March akaamia nyumba ya Katibu kiongozi,
Sasa anahamia nyumbani kwake msesewe.
Utalii wa ndani
jamani Dr aliwakosea nini? Haaa haaa kwahiyo Dr Bashiru ni jimbo la mama Samia na kina mdee jimbo la Ndugai haa haa haa maisha haya!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
IMG-20210331-WA0148.jpg
 
Back
Top Bottom