Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,608
- 64,455
Alijiwekea mipaka, ardhi ikasikia mbingu zikasikia na akilazimisha ndo bye bye.
Yuko wapi jiwe, ni lini jiwe liliishi, tamka tu kwa mdomo wako ardhi na mbingu itaviandika.
Hao wengine wanaokiri kuwa watoto wa masikini huku wamesoma ma PhD nao wanajiingiza kwenye hiyo hiyo njia.
Mama alikiri ... mimi ni rais,.... yes ardhi na mbingu vimeandika hayo, and she will be.