Dkt. Bashiru Ally pole lakini maneno huumba

Dkt. Bashiru Ally pole lakini maneno huumba

Jamani nizundueni. Hivi ni kwa nini huyu Bashiru ametokea kuchukiwa hivi ghafla? Asilimia 90 ya watu wanao.comment kumhusu wanampiga nyundo. Mbona mimi naona kama ni mmoja wa viongozi wazuri walioko CCM? Hata zamani alikuwa hachukiwi hivi, ni nini kimetokea?
Nimesoma habari za kuaminika za upigaji na hata hela ya msiba amelamba

Source:Kigogo14
 
Nimesoma habari za kuaminika za upigaji na hata hela ya msiba amelamba

Source:Kigogo14
Unaikumbuka hii post?


Tunautaabisha mwili kwa manufaa ya nani?
 
Vipi Hamis Kingwangwala ?? yupo mji huu
yupo nje ya box...HK uchawa umemponza sana..moja ya post zake za kumpamba mwendazake wakati wa taharuki ya wananchi kutaka kujua wapi alipo mwendazake, bwana HK katika ukurasa wake wa instgram alisema amefunga kwa ajili ya mwendazake (kabla hajaondoka) na mwendazake ndiye alikuwa waziri kipenzi cha hk kuliko wote enzi za Jk.....sasa hk hakujua kuwa atakaekuja kuwa mkuu wa chi nae alikuwa ni waziri enzi za JK na hakuwa kipenzi cha hk....

Siku zote, busara ni kukaa kimya.
 
Usiishie kuwaza anza kuuza unga wa kupima kisha ingia kwenye jumla utafika tuu..hata mbuyu ulianza kama mchicha ...KIKUBWA NIA, MIPANGO SAHIHI, MATUMIZI SAHIHI, NIDHAMU KAZINI, NIDHAMU YA MUDA NA NADHIMU YA PESA... KISHA IBADA
Kweli shekhe
 
Miaka ya 80 kuna nikiwa Mashariki ya Kati kuna jamaa alikuwa hana kazi kwa mda mrefu
Alikuwa hasali kabisa na akiambiwa mbona husali alikuwa anasema ntasalije na sina hela?
Mda ukaenda mwishowe akapata kazi nzuri
Ila mwendo ukawa ule ule wa kutokusali
Alipoulizwa tena akasema huu ni mda wa kuzitafuta kwa nguvu zote na sala zisubiri ( kufuru hiyo)
Mungu hajaribiwi alikusanya hela nyingi baadae akaja kupata maradhi yaliompelekea kulazwa hospitali miezi 6 huku akilipa gharama za matibabu na hela zikiisha
Ndipo akajua amemkosea sana Mungu na kujirudi
Kweli tushukuru kwa kila jambo na tuchunge ndimi zetu

Sasa google uone mafanikio ya watu wasioamini kabisa uwepo wa Mungu na wanakula bata hadi siku ya mwisho ya maisha yao ndo utajua kusali/kutosali hakuna athari yoyote kwa mwanadamu, maisha yapo on autopilot.
 
Kuna vitu hufanya kazi nje ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu....Na hii ndio maana tunaaswa sana tuwe na tafakuri kubwa tunapotamka mambo makubwa kwenye mazungumzo yetu

Bashiru msomi wa chuo kikuu cha Dsm wakati anateuliwa kushika wadhifa wa katibu mkuu wa CCM ... Kwa mdomo wake alitamka wazi kuwa nafasi hiyo ni kubwa sana kwake na hatarajii kushika nafasi nyingine kubwa na hata kama itatokea ATAIKATAA

Matendo ya Mungu si ya wanadamu.. Ikatokea nafasi ya katibu mkuu kiongozi ...nafasi kubwa zaidi kuliko ile ya ukatibu mkuu wa chama...!!!

Kwakuwa tumeumbwa kusahau na tumeumbiwa utashi wa kuwa dhaifu kuyakana maneno yetu hasa penye ulaji Bashiru alishindwa kutengua kauli yake ile.

Ni wazi kiroho kuwa kwakuwa alishakataa ile nafasi kubwa zaidi ya ukatibu mkuu basi kudra zimemfanya awe katibu mkuu kiongozi aliyehudumu muda mfupi zaidi.

Kama bado anajisikia kushika nafasi nyingine kubwa basi atengue kauli yake ile na mambo yatakuwa safi.

Midomo huumba... Tuwazayo na tutamkayo kwa asilimia 80 huwa...!!!! Tumakinike na kauli zetu.!
Mkuu umeongea jambo la msingi sana. Huyu jamaa anapaswa atubu na akanushe maneno yake ndipo atapanda kutoka hapa alipo. Sasa amekuwa demoted kutoka Ukatibu Kiongozi hadi Ubunge wa viti maalumu. Atajuuuuuuuta kumtukana mamba kabla hajavuka mto.
 
Mkuu umeongea jambo la msingi sana. Huyu jamaa anapaswa atubu na akanushe maneno yake ndipo atapanda kutoka hapa alipo. Sasa amekuwa demoted kutoka Ukatibu Kiongozi hadi Ubunge wa viti maalumu. Atajuuuuuuuta kumtukana mamba kabla hajavuka mto.
Mjomba kaondoka
 
Sasa google uone mafanikio ya watu wasioamini kabisa uwepo wa Mungu na wanakula bata hadi siku ya mwisho ya maisha yao ndo utajua kusali/kutosali hakuna athari yoyote kwa mwanadamu, maisha yapo on autopilot.

Kweli sikatai ila kila jambo lina sababu
Wapo wengi wasio amini na wana mafanikio ila kufuru ni mbaya sana
Karma is bitch
 
Tatizo letu huwa tunajisahau na ujitamkia jambo lolote na mahali popote tunafahamu kuwa nguvu za kiumbaji zinatusikiliza na kupokea kitu kama kilivyo.

Kuna vitabu vitukufu vimejaribu kufunua hizi secret codes za uumbaji mfano Biblia kuna mahali imesema wazi kabisa kuwa tutashibishwa matunda ya vinywa vyetu. Kuna mahali pia panasisitiza sana juu ya kuchanga ulimi.
...nature is very positive and affirmative..We always reap what we....



Methali 18:20
Tumbo la mtu litajazwa matunda ya kinywa chake,
Atashiba mazao ya midomo yake.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
1617206854814.jpeg

 
Watoto yatima mapema, kabla ya siku 40, wanafukuzwa kwenye nyumba ya marehemu baba yao. Kweli dunia haina huruma.
 
Back
Top Bottom