Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,567
- 12,206
Ndio maana CDF aliomba maswala mengine awasilishe ofisini badala ya kwenye podium.Sasa nimeanza kuelewa jambo.Bashiru was fooled by some people walizokuwa na kiu ya nafasi za kiuongozi katika taifa wakitaka kuimanipulate katiba! Kitendo Cha kumpangia mama ziara ya siku 7 huku wakijua kuwa Mambo hayakuwa sawa hospitalini ni uhaini!
Hata hivyo ashukuru mama Hana hasira na amempuuza na kumsamehe! Akatubu na kumuomba mama msamaha pindi apatapo nafasi!
Bashiru angetafutiwa hata Ubalozi,kwasababu anaenda kukutana na wale wabunge aliowanunua wengine wanaenda kuwa boss zake,kama kina Gekul na Silinde.



