Dawa IingieAtulie tu. Hakuna namna.
Ankunywa tu hapa bananaaliye karibu na bashiru atujuze hali yake inaendeleaje huko??
Ni kweli kabisa maneno huumba aidha mabaya au mema, uzima au mauti haya yote yako katika uweza wa ulimi. Chunga sana mkuu na kama ulijitamkia mabaya yafute kwa kujitamkia mazuri kwa imani yako.Amenigusa na mimi nimejikuta natafakari baadhi kauli nilizowahi kuzinena juu yangu.
So Mshana Jr unataka useme watu wapwani huu mushikeri hatuuwez etySukuma gang ndiyo waliorejesha nchi hii kwenye msitari kwa sababu wana msimamo na akili nyingi .
Sukuma gang they can command respect kitu ambacho wenzetu wa milimani na midundiko hawawezi.![]()
Namanisha na ubunge asingepewa arudi mlimani kushika chaki. Huyu mtu ni kirusi cha koronya.Kurudi huko ni demotion na tayari nafasi inagombewa na mataga
Kwahiyo kwenye Wizara ya Afya wameachwa wale Mawaziri wa Nyungu? Hii inaonyesha mama naye anaamini kuwa corona ilishajiondoa baada ya kusimangwa na maombiHata mzee wa prof Kabundi.. kapoteza mambo ya nje ni tamu sana
Si mimi ni huyo ndugu niliyemnakili
umeongea kwa hisia sana......Kufuatia kugogo na baadhi ya Chadema wenye wivu kuwashambulia mawaziri waliowaita kuwa ni Sukuma gang na walikuwa wakimpangia rais Samia awatumbue wote, ndoto zao zimeenda kinyume kwani wameendelea kupeta wote na wako tayari kuwanyiosha mafisadi kuanzia wezi wa dawa hadi wezi wa kodi za wananchi.
Sukuma gang ndiyo waliorejesha nchi hii kwenye msitari kwa sababu wana msimamo na akili nyingi .
Sukuma gang they can command respect kitu ambacho wenzetu wa milimani na midundiko hawawezi.
Mwisho akaenda kweliHii ni kweli kabisa, hata mwendazake alikuwa anapenda kutamka mambo ya kufakufa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama ataelewa hapo mbeleni .. tumpe kama miezi sita.. au mwaka wa matazamio. Sasa bado mapema sanaaa. Japo CCM ni ile ile na watu ni wale wale..Kwahiyo kwenye Wizara ya Afya wameachwa wale Mawaziri wa Nyungu? Hii inaonyesha mama naye anaamini kuwa corona ilishajiondoa baada ya kusimangwa na maombi
I have noted something here..!!!Bashiru was fooled by some people walizokuwa na kiu ya nafasi za kiuongozi katika taifa wakitaka kuimanipulate katiba! Kitendo Cha kumpangia mama ziara ya siku 7 huku wakijua kuwa Mambo hayakuwa sawa hospitalini ni uhaini!
Hata hivyo ashukuru mama Hana hasira na amempuuza na kumsamehe! Akatubu na kumuomba mama msamaha pindi apatapo nafasi!