Dkt. Bashiru Ally pole lakini maneno huumba

Dkt. Bashiru Ally pole lakini maneno huumba

Kufuatia kugogo na baadhi ya Chadema wenye wivu kuwashambulia mawaziri waliowaita kuwa ni Sukuma gang na walikuwa wakimpangia rais Samia awatumbue wote, ndoto zao zimeenda kinyume kwani wameendelea kupeta wote na wako tayari kuwanyiosha mafisadi kuanzia wezi wa dawa hadi wezi wa kodi za wananchi.

Sukuma gang ndiyo waliorejesha nchi hii kwenye msitari kwa sababu wana msimamo na akili nyingi .

Sukuma gang they can command respect kitu ambacho wenzetu wa milimani na midundiko hawawezi.
You are dreaming my dear brother.
Tumeanza na KMK ndugu B.
The guy was so powerful hata baadhi ya mawaziri walikua wsnamuogopa. Alikua anasema ovyo anavyotaka. Eti ukikamata Dola, Dola imemponyoka hata mwaka haujaisha.
Kuna usemi usemao. Ukila nyama usifungue mdomo watu wakaona unakula nyama, maana kesho utakula matembele.
 
Hiyo inaitwa 69
Leo umesimama unasimanga watu kwa dharau, kesho unawalamba sehemu mbaya.
Cheo Ni DHAMANA, usikitumie cheo chako Wala Cha mtu mwingine kwa faida yoyote.
IMG-20210331-WA0117.jpg
 
Back
Top Bottom