Na hapo maza amemuonea haya tu ya kumtoa u CS bila kumtunuku nyazifa...so akaamua ampatie ubunge.Kuna vitu hufanya kazi nje ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu....Na hii ndio maana tunaaswa sana tuwe na tafakuri kubwa tunapotamka mambo makubwa kwenye mazungumzo yetu
Bashiru msomi wa chuo kikuu cha Dsm wakati anateuliwa kushika wadhifa wa katibu mkuu wa CCM ... Kwa mdomo wake alitamka wazi kuwa nafasi hiyo ni kubwa sana kwake na hatarajii kushika nafasi nyingine kubwa na hata kama itatokea ATAIKATAA
Matendo ya Mungu si ya wanadamu.. Ikatokea nafasi ya katibu mkuu kiongozi ...nafasi kubwa zaidi kuliko ile ya ukatibu mkuu wa chama...!!!
Kwakuwa tumeumbwa kusahau na tumeumbiwa utashi wa kuwa dhaifu kuyakana maneno yetu hasa penye ulaji Bashiru alishindwa kutengua kauli yake ile.
Ni wazi kiroho kuwa kwakuwa alishakataa ile nafasi kubwa zaidi ya ukatibu mkuu basi kudra zimemfanya awe katibu mkuu kiongozi aliyehudumu muda mfupi zaidi.
Kama bado anajisikia kushika nafasi nyingine kubwa basi atengue kauli yake ile na mambo yatakuwa safi.
Midomo huumba... Tuwazayo na tutamkayo kwa asilimia 80 huwa...!!!! Tumakinike na kauli zetu.!
aiseeDiminishing marginal return.
Mbaya zaidi ni msimu wa vikao vya bunge na yeye alitamani ajifiche ndani hata kwa mwezi mzima.Bashiru huu usiku wa leo ni mrefu sana kwake, atakesha akiwaza au kuumwa tumbo la kuharisha tu.
Mkwanja tayari anao kupitia ile biashara ya binadamubashiru hajapoteza.hata ubunge Una hela Sana.
Sioni tofauti ya PhD holder na Musukuma, wote wabunge lilelileDunia duara haki tena...sasa hivi inamzunguka Dkt. Bashuru anaenda kuuma bench na msukuma na Gwajima. Acha niendelee na kazi yangu ya kuchunga mbuzi tu.
Ni hatari sana kuomba watanzania wakuombee, ogopa sana, wengine wanakuombea kifo kabisaaaNa hapo maza amemuonea haya tu ya kumtoa u CS bila kumtunuku nyazifa...so akaamua ampatie ubunge na uwaziri ili apate justification ya kumfyatua hapo mbeleni.
So Bashiru aendeleee andika papers walau ajivunie u prof maana hana maisha marefu kwenye anga za siasa hapa bongo.
Ni seme tu kila zama na zana zake.
Mama kaliona hili ndio maana kamtoa Bashiru katibu mkuu wa chamaSijui siku gani tutatnganisha kati ya CHAMA NA SERIKALI.
Ameze Panadol Ili Atulize MaumivuBashiru huu usiku wa leo ni mrefu sana kwake, atakesha akiwaza au kuumwa tumbo la kuharisha tu.