Dkt. Bashiru Ally pole lakini maneno huumba

Dkt. Bashiru Ally pole lakini maneno huumba

Lakini hadhi yake imeshuka vibaya sana. Pesa sio heshima.
True.
Money is nothing important.
Money does not care who owns it.
A fool can win it in a lottery,
A bum can inherit it.
It is power which matters.
Sasa hivi jamaa Ni Kama Mzee Halima tu sema mzee Halima ana jinsia ya kike kimaumbile
 
Maneno ya wanafiki sasa👇
Bashiru Ally Uliuanza mwendo wa Siasa kwa kuwa mchambuzi mahili, mwenye Maono ya nchi yako, hakika hakusita Rais wa awamu ya Tano Baba yetu Hayati Dkt MAGUFULI kukuteua kufanya tathmini na ukaguzi wa mali za Chama CCM, ulifanya kwa uadilifu mkubwa na uaminifu.
Kazi ulipiga
 
Posho za ubunge unazijua?
Ule wadhifa mkuu, kuwa katibu wa chama kama sisiem si mchezo, wale bungeni mpaka kuingia kwenye kinyang'anyilo katibu anahusika sana, huoni alivyokuwa akienda.ziara anavyopokelewa sahizi wapi kwa fungu la nani na kufanya nini?

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Weka posho zao hapa tuone.
Na usisahau katibu mkuu KIONGOZI sio KAZI ya kudumu.
Acha bange wewe, unaifahamu posho ya KMK? "Supika" mwenyewe alikiri jamaa alipoteana baada ya maamuzi yale ya Mama Samia, wewe ni nani upinge?
 
Kinachonishangazi mbona watu wamefurahi sana.....kwani aliwakosea nini mpaka watu wafurahie kuporomoka kwake
 
Nazidi kujifunza, siku zote huwa nayaheshimu sana maisha huyu mtu na kundi lake walijisahau sana na kujiona miungu watu,
 
Maneno ya wanafiki sasa
Bashiru Ally Uliuanza mwendo wa Siasa kwa kuwa mchambuzi mahili, mwenye Maono ya nchi yako, hakika hakusita Rais wa awamu ya Tano Baba yetu Hayati Dkt MAGUFULI kukuteua kufanya tathmini na ukaguzi wa mali za Chama CCM, ulifanya kwa uadilifu mkubwa na uaminifu.
Kazi ulipiga
 
Muwe mnasoma na kuelewa kitu kabla hamjachangia...

Hi vitu hufanya kazi nje ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu....Na hii ndio maana tunaaswa sana tuwe na tafakuri kubwa tunapotamka mambo makubwa kwenye mazungumzo yetu .....

Zingatia MAMBO MAKUBWA KWENYE MAZUNGUMZO YETU... Si kila uliwazalo ama ulitakalo huwa....!!!!
Nimekuelewa Mshana
Hatuko kwenye mawazo bali kauli

Mara ngapi tunajisemea ama tunasema mema makubwa kwenye mazungumzo yetu hadharani na hayawi?.

Naona ni coincidences tu
 
Hi vitu hufanya kazi nje ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu....Na hii ndio maana tunaaswa sana tuwe na tafakuri kubwa tunapotamka mambo makubwa kwenye mazungumzo yetu

Bashiru msomi wa chuo kikuu cha Dsm wakati anateuliwa kushika wadhifa wa katibu mkuu wa CCM ... Kwa mdomo wake alitamka wazi kuwa nafasi hiyo ni kubwa sana kwake na hatarajii kushika nafasi nyingine kubwa na hata kama itatokea ATAIKATAA

Matendo ya Mungu si ya wanadamu.. Ikatokea nafasi ya katibu mkuu kiongozi ...nafasi kubwa zaidi kuliko ile ya ukatibu mkuu wa chama...!!!

Kwakuwa tumeumbwa kusahau na tumeumbiwa utashi wa kuwa dhaifu kuyakana maneno yetu hasa penye ulaji Bashiru alishindwa kutengua kauli yake ile.

Ni wazi kiroho kuwa kwakuwa alishakataa ile nafasi kubwa zaidi ya ukatibu mkuu basi kudra zimemfanya awe katibu mkuu kiongozi aliyehudumu muda mfupi zaidi.

Kama bado anajisikia kushika nafasi nyingine kubwa basi atengue kauli yake ile na mambo yatakuwa safi.

Midomo huumba... Tuwazayo na tutamkayo kwa asilimia 80 huwa...!!!! Tumakinike na kauli zetu.!

View attachment 1741824
Swadaktaaa
 
Atarudi kwenye ukatibu mkuu sisiemu lakini alipaswa awe demoted kabisa kabisa arudi udsm kumark course work za wanafunzi
Kutoka kuwa KMK hadi kuwa mbunge wa viti maalum kama akina Mzee Mdee ni demotion kubwa saaaana,yaani hapo anazidiwa hata na Kibajaji kwani yupo pale kwa hisani ya mtu mmoja tu.
 
Aliye karibu na bashiru atujuze hali yake inaendeleaje huko??
Mwenye macho haambiwi tazama,bado yupo anajisikilizia
IMG-20210403-WA0001.jpg
 

Attachments

  • IMG-20210401-WA0000.jpg
    IMG-20210401-WA0000.jpg
    63.3 KB · Views: 11
Back
Top Bottom