Kiukweli huyu jamaa kwa sasa anahitaji msaada ya kisaikolojia. Yaani haiwezekani ndani ya Wiki 4 tu ametoka Masaki kwenye nyumba za Chama na magari pamoja na Walinzi wa Chama. Ghafla akaenda Ikulu kwenye Kiyoyozi, TISS, magari na kila aina ya starehe za kodi za wananchi ghafla anashuhuria kuapishwa kwa Makamu then anarud tena kule alikotoka.Wakuu wale wanaojua kutafsiri habari picha naomba tusomee hiyo picha.
Dr Bashiru anaonekana akiwa ndani ya Bunge ukifuatilia bunge linavyoenda.
View attachment 1745669
Kamanda in chiefMbowe anacheo gani cha kumfanya apate sifa ya kuzungumziwa?
Tunazungumzia wanaolipwa fedha za walipa kodi.
Nafurahi sana kuona unavyokwenda na bit😂😂😂😂😂😂😂
Mmawia kama Mmawia
Wakale majanga na ndugu zakeHuyu mjamaa haelewi nchi inakopelekwa kwa sasa GPS navigation system inasema rudi nyuma njia tumeiacha, rudi, lakini dereva sijui ndio K vant anakanyaga mafuta mpaka Gps inakata mafuta yani haisomi tena!..