Dkt. Bashiru akiwa Bungeni

Dkt. Bashiru akiwa Bungeni

Viti maalum,
Dr. hana raha kabisa.Hajui anamwakilisha nani mjengoni!

..hivi kuna Mtz anaweza kununa wakati analipwa millioni 12 kila mwezi bila kufanya kazi?

..kwa nafasi[ubunge bila jimbo] aliyoteuliwa Dr ana muda mwingi sana wa kufanya mambo yake bila usumbufu wowote.
 
Siku moja atasimama kama shujaa! Siku moja aibu yake ya sasa itafutwa!

..kuna jambo gani la aibu?

..uteuzi wa awali kuwa CS ulikuwa na makosa.

..ni makosa kumteua CS toka ktk vyama vya siasa.

..kwa maoni yangu, Rais Samia amefanya vema kurekebisha makosa yaliyotokea.

..uteuzi ule ungeachwa unge-set a bad precedent ktk uteuzi wa watendaji wa serikali.
 
Never hawezi kuwa na raha kutokana na cheo alichokuwa nacho.
 
Hivi unakuwaje KM wa chama wakati hujawahi kushiriki na kushinda hata nafasi ya udiwani, au ndo mbereko za chuma hizi...
 
Hapo Bungeni akitulia atafanya mambo makubwa. Huyu ni mtaaluma wa Sayansi ya siasa achange vizuri akili yake yuko sehemu muwafaka kwa kujitengenezea mazingira mazuri ya kiuongozi.
 
Hapo Bungeni akitulia atafanya mambo makubwa. Huyu ni mtaaluma wa Sayansi ya siasa achange vizuri akili yake yuko sehemu muwafaka kwa kujitengenezea mazingira mazuri ya kiuongozi.
Akawaongoze MATAGA wa lumumba
 
Hivi unakuwaje KM wa chama wakati hujawahi kushiriki na kushinda hata nafasi ya udiwani, au ndo mbereko za chuma hizi...
Alibebwa na mbeleko ya turubai
 
Huyu mshenzi ana bahati..awali ilikuwa afutwe tu ..mama akaona isiwe tabu acha nimteue mbunge..ila yeye na mwenzake wakae kitako...
Ningekuwa na uwezo hata hiyo nafasi ya ubunge ningemnyima kabisa na kumfukuza tu
 
Yaani hapo anajiuliza...Mama kaniona mimi ni sawa na kina msukuma kweli? Au kaniona nafanana na Lusinde?...jamaa anahitaji uangalizi wa karibu anaweza kumfata mwendazake
 
Back
Top Bottom