Dkt. Bashiru akiwa Bungeni

Dkt. Bashiru akiwa Bungeni

Miongoni mwa vitu anavyoviwaza mwamba

Njia uliotumia kupanda ndio njia utakayotumia kushuka.
Ukipanda chap unashuka chap.

Ukipandishwa paap, unashukishwa vuup.

Ukiinuliwa na wanadamu utashushwa na wanadamu

Na aalaniwe mtu yule amtegemeae mwanadamu.
 
Hapo bado makonda hajakabidhiwa ukatibu uenezi Ccm!! Hahahaaa yeye na kijana babu watakiona chamtemakuni!! Walimwandamaga sana sasa itakuwa zamuyao kuumbuliwa hadharani!!
Waungwana wanasema ukiwa juuu usijishikilie sehemu moja ukajiamini tafuta sehemu nyingi ukiteleza udakwe sio kanguzo kamoja kakianguka nawe puuuh! chini
Nikama alijua akiwaacha chamani watafurushwa vibaya akampa mmoja ubunge mwingine u-KMK japo haijawa bahati kwake
 
Jamaa kajiwekea record yake ya kipekee!!
 
Huwa mnatuambia role model wenu kwa democrace ni USA, UK, SWEDEN ETC. Sasa najiuliza je huko wanakuwaga na mipasho na kejeli kama hizi?
Yaani huwa na husuda mpaka kwa marehem!
Sasa huyu Bashiru:, ni mtu ambaye anakula marupurupu ya ukatibu mkuu wa CCM, Ukatibu mkuu kiongozi japo kwa siku 33, Ubalozi, na bado ana kinuwa mgongo cha UDSM - Na kumbuka hapo ameisha hakikishiwa hela za bunge. Ya kila sitting na akiwa kwenye zile Kamati zake! Na mwisho kiinua mgongo cha ubunge! Je! Unaweza kujilinganisha na mtu huyo? Mpende mchukie hamumuwezi ameisha tangulia kwa muda mfupi tu! Acha husuda. Akipewa kazi Bashiru, anafanya kazi hiyo kwa kiwango cha juu sana - kazi yoyote hata ikiwa ni umesenger! Anauwezo mkubwa wa kupanga, kuongoza na kupata matokeo ambao huwezi kumuondelea kichwani.
Kutoka katibu mkuu wa chama mpaka mbunge sijui alichukua lift gani.
De
 
Maza kamharibia sana huyu jamaa!
BORA ANGE MWACHIA HATA UBALOZI.
AKAISHI NJE....
 
Kutoka kampeni meneja tu katibu tarafa
Ukiangalia sura ya jamaa hata leo akitumbuliwa ukatibu uenezi hawezi shituka,. Ila bashiru ndio bado aamini kuwa amelamba galasa, ila dawa itamuingia kidogo kidogo.

Ila maisha yanaenda kasi asee mwezi wa kumi nikikumbuka alivyokuwa anaenda zenji wanateka media zote wakifanya kampeni anamtukana maalim eti mzee mandevu, anatoa matamko ya kukamata wapinzani kwenye kesi za murder

Jana polepole anayoosha mkono naibu spika swali la nyongeza nilicheka sana
 
Wakuu wale wanaojua kutafsiri habari picha naomba tusomee hiyo picha.

Dr Bashiru anaonekana akiwa ndani ya Bunge ukifuatilia bunge linavyoenda.

View attachment 1745669
Huyu mjamaa haelewi nchi inakopelekwa kwa sasa GPS navigation system inasema rudi nyuma njia tumeiacha, rudi, lakini dereva sijui ndio K vant anakanyaga mafuta mpaka Gps inakata mafuta yani haisomi tena!
Tz iliyokuwa kwenye picha ya huyu mwanamapinduzi ghafla imepotea! Kakurwa, jipe moyo mkuu, Mungu bado ana Tz, tutarudi tu kwenye reli isee🙏!
 
1617795902808.jpeg

Wakuu wale wanaojua kutafsiri habari picha naomba tusomee hiyo picha.


Dr Bashiru anaonekana akiwa ndani ya Bunge ukifuatilia bunge linavyoenda.

View attachment 1745669
 
Anaonekana kutafakari Corona na madhara yake kwake. Na ajue akishatoka hapo Jimbo hana 2025 na akithubutu kugombea watamkata kichwa juu kwa juu. CCM Makenikia tupa kule. Alitumika kuumiza waasisi na washika mpini wa jembe. CCM ina wenyewe na wenyewe ni Thithi.
 
Back
Top Bottom