Hapo ndiyo tujue sasa kuwa Mungu yupo hai muda wote kuwalinda viumbe wake.Amepigwa comeback ya kisanga kutoka kuapishwa ubalozi sijui katibu kiongozi mpaka uchimba chumvi ni hatari mno Mazee huyo jamaa kuendelea kukomaa bungeni ni kiboko aisee sema akwende zake huko walikua wanaongea chochote na slow slow wake mpaka eti alinunua ubao kupiga hesabu za tofauti ya trillion 1.5 yaani wanatuona sisi makolo kweli...
Na pia ni heri yeye kawa mbunge...Heri kitu kuliko kukosa kitu bora kapata hata ubunge.
Weka wewe, kwani nani kakuzuia?Weka na ya Mbowe akiwa Dubai.
Lioneni hili CHOKO la Lumumba nalo, likilala Mbowe likiamka CHADEMA.Weka na ya Mbowe akiwa Dubai.
Amekuwa mbunge wa taifaHana Jimbo huyo mwamba.
Hiyo ndio picha ya Mbowe??Lioneni hili CHOKO la Lumumba nalo, likilala Mbowe likiamka CHADEMA.
Kwani Samia amemteua Mbowe kwenda Dubai...?! Watoto sio riziki mnasumbua sana humu.
Tafuta bwana kwingine Mbowe umpati Ng'o.Hiyo ndio picha ya Mbowe??
Kumbe ndio mumeo?? Basi una haki ya kuwa na wivu .Tafuta bwana kwingine Mbowe umpati Ng'o.
Haina shina, hivi Bashiru kwani Mbowe ndio aliekuteua uwe mbunge wa viti maalum Chamwino kwa Samia?! Au Nongwa tu sasa.Kumbe ndio mumeo??
Kama ni mimi hata huo uteuzi wa ubunge nisingechukuwaWakuu wale wanaojua kutafsiri habari picha naomba tusomee hiyo picha.
Dkt. Bashiru anaonekana akiwa ndani ya Bunge ukifuatilia bunge linavyoenda.
Ha ha ha!!!! Haamini anatafakari kilichomtokea!!!!!!Wakuu wale wanaojua kutafsiri habari picha naomba tusomee hiyo picha.
Dkt. Bashiru anaonekana akiwa ndani ya Bunge ukifuatilia bunge linavyoenda.
Kuwa na adabu kijana.Wacha ushamba wa kupenda matusi wewe