Huwa mnatuambia role model wenu kwa democrace ni USA, UK, SWEDEN ETC. Sasa najiuliza je huko wanakuwaga na mipasho na kejeli kama hizi?
Yaani huwa na husuda mpaka kwa marehem!
Sasa huyu Bashiru:, ni mtu ambaye anakula marupurupu ya ukatibu mkuu wa CCM, Ukatibu mkuu kiongozi japo kwa siku 33, Ubalozi, na bado ana kinuwa mgongo cha UDSM - Na kumbuka hapo ameisha hakikishiwa hela za bunge. Ya kila sitting na akiwa kwenye zile Kamati zake! Na mwisho kiinua mgongo cha ubunge! Je! Unaweza kujilinganisha na mtu huyo? Mpende mchukie hamumuwezi ameisha tangulia kwa muda mfupi tu! Acha husuda. Akipewa kazi Bashiru, anafanya kazi hiyo kwa kiwango cha juu sana - kazi yoyote hata ikiwa ni umesenger! Anauwezo mkubwa wa kupanga, kuongoza na kupata matokeo ambao huwezi kumuondelea kichwani.
De