Mantombazane
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 579
- 367
Hakuna bunge hapo
Ukweri XHaha nasema ukweri kutoka moyoni Bashiru anafuraha kweri-kweri
Mataga mmepigwa na butwaa baada ya Corona kupindua meza, rudia kusoma tena comment yakoWeka na ya Mbowe akiwa Dubai.








Nadhani hujamwelewa mwandishi rudia tena kusomaUkweri X
Ukweli ✓
Ana furaha X
Hana furaha ✓
Kiswahili cha Dot Com Ni shiiiiida!
Mwakilishi wa MatagaNae ni mwakilishi wa wananchi?
Ukweri X
Ukweli ✓
Ana furaha X
Hana furaha ✓
Kiswahili cha Dot Com Ni shiiiiida!
HuyuWakuu wale wanaojua kutafsiri habari picha naomba tusomee hiyo picha.
Dr Bashiru anaonekana akiwa ndani ya Bunge ukifuatilia bunge linavyoenda.
View attachment 1745669
Huyu jamaa wanaweza kujinyonga amekata tamaa anaona malipo yadhambi zake yanamjia kwa kasi😆😆😆😅 roho za watu zinamliliaWakuu wale wanaojua kutafsiri habari picha naomba tusomee hiyo picha.
Dr Bashiru anaonekana akiwa ndani ya Bunge ukifuatilia bunge linavyoenda.
View attachment 1745669
Mkuu umeelewa kinachojadiliwa kweli?? Kwani Bashiru kafananishwa na nani? Watu kama nyie ndiyo huwa waumini wa manabii feki kama Gwajiboy na yule wa liva saidiii.Huwa mnatuambia role model wenu kwa democrace ni USA, UK, SWEDEN ETC. Sasa najiuliza je huko wanakuwaga na mipasho na kejeli kama hizi?
Yaani huwa na husuda mpaka kwa marehem!
Sasa huyu Bashiru:, ni mtu ambaye anakula marupurupu ya ukatibu mkuu wa CCM, Ukatibu mkuu kiongozi japo kwa siku 33, Ubalozi, na bado ana kinuwa mgongo cha UDSM - Na kumbuka hapo ameisha hakikishiwa hela za bunge. Ya kila sitting na akiwa kwenye zile Kamati zake! Na mwisho kiinua mgongo cha ubunge! Je! Unaweza kujilinganisha na mtu huyo? Mpende mchukie hamumuwezi ameisha tangulia kwa muda mfupi tu! Acha husuda. Akipewa kazi Bashiru, anafanya kazi hiyo kwa kiwango cha juu sana - kazi yoyote hata ikiwa ni umesenger! Anauwezo mkubwa wa kupanga, kuongoza na kupata matokeo ambao huwezi kumuondelea kichwani.
De
Free fall bila parachuteKutoka katibu mkuu wa chama mpaka mbunge sijui alichukua lift gani.
Anatafakari next election akagombee jimbo gani, maana kizembe tu anaweza jikuta ni mwanachama wa kawaida.Wakuu wale wanaojua kutafsiri habari picha naomba tusomee hiyo picha.
Dr Bashiru anaonekana akiwa ndani ya Bunge ukifuatilia bunge linavyoenda.
View attachment 1745669
Ikiwa hivyo basi na mama nae hafai cz kaonyesha wazi kubadilika kutoka kwenye misimamo yake ya kwanza and nw time unaweza kudhani hakuwepo kabisaUkiona mafanikio ya mtu, pesa, mali au ukaribu wake na watu flani unambadilisha tabia yake na ujue kabisa huyo mtu hafai