Dkt. Ayub Rioba kwishaaa, leo hajai hata kwenye kiganja

Huyo jamaa kuna makala yake moja aliiandika kwenye gazeti la Raia Mwema nikasema huyu jamaa alitakiwa awe serikalini tena apewe wizara kabisa maana ana upeo mkubwa sana ila tangu ateuliwe na ccm kuwa mkurugenzi wa Tbccm amekuwa yupo kama hayupo. Kweli njaa mbaya sana.
 
Kuna mwingine naye anaitwa Polepole ati anatuaminisha kuna ccm mpya, hii nchi haiishi vituko na vichekesho, sijui hawa wapiga dili ni kina nani?

Hakuna tena cha kelele za katiba mpya wala serikali tatu, shenzi type njaa siyo mchezo.
Yule jamaa ndo njaa tupu, aliwahi kusema kwamba vyeo vya wakuu wa mikoa na wilaya vifutwe kwa sababu vinachezea pesa ya umma tu wakati hawana kazi, ghafla baada ya mzee kuingia ikulu akamteua kuwa mkuu wa wilaya ya ubungo hahahaha, jamaa akachangamkia fursa japo kwa aibu. Njaa mbaya sana.
 
Shida ni pale unapotoa ushauri wa kitaalamu na ukajibiwa subiri, anaekujibu hivyo anaangalia hicho unachotaka kufanya kitamsaidiaje kisiasa ukikifanya wewe.

Kwahiyo subiri, atakuja kukifanya mwenyewe.
Hatimae hakifanyi, na kilichopo kinazidi kufa.
Kwa wale wakosoaji wa nje, mda wenu ukifika mtajionea kama wanavyojionea wenzenu sasa. TV haina ubunifu wowote, miaka nenda, miaka rudi wazee wa This week in persepective hawabadilishi hata ukaaji. Boring.
 
Hakuna kitu kinachoniumiza maishani kama kutoitendea haki nafsi yangu....kukubali fikra zako kuzikwa ni aibu sana na mbele za Mungu lazima ujibu.
Kweli kabisa kama mtu yule alivyo ambiwa ukweli akiwa chama jirani afu akaja chama kingine akasafishwa. ...ndani ya moyo wako unajua kabisa una deal na kinanani na tabia zao zikoje. ..
Basi iko siku. ....
 
Shida ni pale unapotoa ushauri wa kitaalamu na ukajibiwa subiri, anaekujibu hivyo anaangalia hicho unachotaka kufanya kitamsaidiaje kisiasa ukikifanya wewe.

Kwahiyo subiri, atakuja kukifanya mwenyewe.
Hatimae hakifanyi, na kilichopo kinazidi kufa.
Kwa wale wakosoaji wa nje, mda wenu ukifika mtajionea kama wanavyojionea wenzenu sasa. TV haina ubunifu wowote, miaka nenda, miaka rudi wazee wa This week in persepective hawabadilishi hata ukaaji. Boring.
Hivi kile kingereza wanachotumia wale wazee kwenye hicho kipindi chao ukienda ulaya kinatumika kweli? nina mashaka hata Waingereza wenyewe wakiangalia kile kipindi hawawezi kuelewa kinachoendelea kwenye kipindi ni totaly boring.
 
Haaaaas haaaaa JF never die
 
Yeye mwenye hana raha kabisa na huo uteuzi na ndiyo maana ameamua kukaa kimya!!!!!! UKIMYA NI NJIA MOJAWAPO YA KUONESHA MSIMAMO.
 
Baada ya UKUTA wa Sept 1 kuahirishwa, tuliambiwa itakuwa October 1.

Hii ya October 1 tuliishia kwenda kucheki game ya Simba na Yanga na hatukuambiwa chochote juu ya UKUTA.

Nimesikia kuna Operesheni Kata Funua inakuja, sina uhakika kama haitayeyuka kama zile za mwanzo.
 
mbona mnajidili sana huyu mtu leo?yupo mbioni kutumbuliwa mini?!!.....,kuna thread asubuhi ilikuwa inajadili TBC akimlenga kwa kiasi kikubwa dkt. rioba(imefutwa nadhani).
 
kula warioba kula mwaya, alikula mbowe za lowasa sembuse ww!!?.
 
Kuna mwingine naye anaitwa Polepole ati anatuaminisha kuna ccm mpya, hii nchi haiishi vituko na vichekesho, sijui hawa wapiga dili ni kina nani?

Hakuna tena cha kelele za katiba mpya wala serikali tatu, shenzi type njaa siyo mchezo.

Maisha ya kuganga njaa!
 
Back
Top Bottom