sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,013
- 8,369
Kusema la kweli nchi hii ina wasomi wengi.
Nakumbuka Dkt. Ayub Rioba wa TBC enzi akiwa chuoni hakika alikuwa mwanazuoni na tishio la watawala enzi hizo.
Makala zake nzito ndizo zilizopelekea Rais wa awamu ya tano kumteua kusimamia shirika la umma la TBC na wengi tulijua anaenda kutema cheche, kilichotokea ni aibu kubwa kwa taifa mpaka leo hasikiki amebakia kuwa mhariri yaani mathalani wakiitwa wahariri nae tunamwona anaenda badala ya kutuma watoto wadogo waliopo chini yake.
Mathalani nilimwona juzi kwenye tume ya Haki Jinai ulipo ilipokuwa ikizungumza na wahariri.
Ebu jiulize Prof. Mruma kama alienda kujadili Jambo ambalo linausiana na mikataba alishindwa nini kuwaomba wakina Mwabukusi, Peter Kibatala aende nao wakatetee mikataba hiyo?