Dkt. Ayub Rioba kwishaaa, leo hajai hata kwenye kiganja

Acha kunijaza ujinga wewe,kama unaiamini taaluma yako hakuna kupelekeshwa.Tido alitemwa ndio lakini leo yupo wapi?

Kwa mtu kama Lyoba unataka kuniambia akitemwa atasota nyumbani au?

Hakuna haja ya kuitwa mtaalamu kama mwisho wa siku utafanya tofauti na taaluma yako.
si kukujaza ujinga labda hujanielewa na sijamaanisha ukitemwa hupati kazi nilichomaanisha wateuliwa wote lazima wafuate masharti ya walowateuwa kinyume na hapo unatimuliwa hilo halina mjadala otherwise kataa uteuzi.
 
ulikuwa unategemea nini kutoka kwa Dr labda kwamfano

ma PHD holder wetu ndivyo walivyo all of them kiasi kwamba hata sasa hivi PHD hata ya bure sitaki ni ujinga
Alitegemea apewe Shirika lenye kufanya matumizi na budget ya billion 67 akatae ?.
Mishahara arupurupu ni 28 million kwa mwezi alafu unaenda kwa ushujaa kabisa anamwambia mkeo ile kazi nimeikata na million 28 waendelee nazo.

Na watoto na mkeo watakupigia makofi ya ushujaa. Hahaha hahaha.
Nyumba Kahama Street Masaki, V8 2 zinarudi na madreva 2, marupurupu ya kununua expensive equipment, travel allowances za ndani na nje ya nchi.
Mkuu wa maafisa na vituo vyote vya Redio vya kanda.

Kisaka nini uzalendo, watanzania hatuja fika huko.
 
Back
Top Bottom