Dkt. Abbas: Ndege tunanunua na huduma za kijamii tunawekeza fedha za kutosha, wanunaji waendelee kununa

Kweli elimu yetu imeshuka sana, kauli kama hizi za kitaarab hazitegemewi kutoka kwa msemajii wa serikali mwenye Phd
 
Anae nuna sbb ya maendeleo makubwa anayofanya Mh. Rais Magufuli, huyo ni mchawi. Au ana roho ya kichawi. Wachawi hawapendi maendeleo kabisa.
 
Back
Top Bottom