Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,254
- 15,326
Ulitaka ajibu ulivyotaka wewe?Mama yako anahusika na nini? Maana sijasikia kama kuna mtu kajibu hoja za Gwajima. Samia mwenyewe hakuweza jibu kitu kaishia kutokwa mapovu tu. Mama yako alijibu mkiwa kwenu?