Asenga wa Pakaya
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 260
- 60
Mana ujana wakati mwingine umfanya kijana kusema ata bila kufikiri sana au kuwa na uzoefu wa mambo.
Linaweza kumjia tu akalisema bila kufikiri sana
Sasa babu kweli unasema vijana hawa walioandama kukukataa kigoma wamelewa kweli
Kweli hawa ni mamluki wa CCM hawa.
Kama bendera zako zinachomwa na mamluki wengi kias hiki na wewe ndie mtendaji wa chama
Basi kazi imekushinda.
Jiuzuru