Dk Slaa naona unakuwa kijana sasa

Asenga wa Pakaya

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
260
60
Mana ujana wakati mwingine umfanya kijana kusema ata bila kufikiri sana au kuwa na uzoefu wa mambo.

Linaweza kumjia tu akalisema bila kufikiri sana

Sasa babu kweli unasema vijana hawa walioandama kukukataa kigoma wamelewa kweli

Kweli hawa ni mamluki wa CCM hawa.

Kama bendera zako zinachomwa na mamluki wengi kias hiki na wewe ndie mtendaji wa chama
Basi kazi imekushinda.

Jiuzuru
 
CCM hizi propaganda zenu za kitaahira ndizo zinazowafanya wananchi wanazidi kukichukia zaidi chama chenu!
 
Mana ujana wakati mwingine umfanya kijana kusema ata bila kufikiri sana au kuwa na uzoefu wa mambo.

Linaweza kumjia tu akalisema bila kufikiri sana

Sasa babu kweli unasema vijana hawa walioandama kukukataa kigoma wamelewa kweli

Kweli hawa ni mamluki wa CCM hawa.

Kama bendera zako zinachomwa na mamluki wengi kias hiki na wewe ndie mtendaji wa chama
Basi kazi imekushinda.

Jiuzuru

Pilipili usio ila inakuwashia nini Slaa sisi wanachadema tunamuhitaji kama hewa ya oxygen wewe gamba nihalali usimtake maana ni mwiba kwako na wasaliti mlio watuma.
 
Ukisikia sauti babu anapiga P A vijana wasogee ktk mkutano wake utamuonea hadi huruma

Akizungumza kwa sauti ya kutetemeka

"Vijana wangu nawaomba msogee uwanjani mnisikilize nami niwa sikilize (mzee hatutaki, omba mungu hao askari wa chama chako cha zamani ccm wanakulinda)
Demokrasia ni kusikilizana vijana wangu"

Babu ushafika saa 1 jion ww
 
We jamaa hua unalazimishaga sana umaarufu na unataka utumie mgongo wa mkulu ila ndo vile unajulikana jf tu
 
Pilipili usio ila inakuwashia nini Slaa sisi wanachadema tunamuhitaji kama hewa ya oxygen wewe gamba nihalali usimtake maana ni mwiba kwako na wasaliti mlio watuma.

Yeah! Mnaomuhitaji babu, ni wale mliomo kwenye payroll yake ya kutafuna ruzuku!
 
Mana ujana wakati mwingine umfanya kijana kusema ata bila kufikiri sana au kuwa na uzoefu wa mambo.

Linaweza kumjia tu akalisema bila kufikiri sana

Sasa babu kweli unasema vijana hawa walioandama kukukataa kigoma wamelewa kweli

Kweli hawa ni mamluki wa CCM hawa.

Kama bendera zako zinachomwa na mamluki wengi kias hiki na wewe ndie mtendaji wa chama
Basi kazi imekushinda.

Jiuzuru

Asenga Abubakar ni msomali aliyehamia Ifakara, hawa ndio wahamiaji haramu. Hta kuandika kiswahili kwa ubora hujui, kweli u-camerun ni mbaya sana, kumbe unaathiri mpaka kichwani.
 
Ukisikia sauti babu anapiga P A vijana wasogee ktk mkutano wake utamuonea hadi huruma

Akizungumza kwa sauti ya kutetemeka

"Vijana wangu nawaomba msogee uwanjani mnisikilize nami niwa sikilize (mzee hatutaki, omba mungu hao askari wa chama chako cha zamani ccm wanakulinda)
Demokrasia ni kusikilizana vijana wangu"

Babu ushafika saa 1 jion ww

tumia akili kabla ya kujibu hoja wewe gamba!
 
We kumbe huyu ni chakula aaaa bana ndo mana lisula lake limejaa makalolite, make nikawa najiuliza kwanini hua anandikaga pumba sana kumbe kuna mtu anakua nyuma yake anapoandika huyu msomali
Asenga Abubakar ni msomali aliyehamia Ifakara, hawa ndio wahamiaji haramu. Hta kuandika kiswahili kwa ubora hujui, kweli u-camerun ni mbaya sana, kumbe unaathiri mpaka kichwani.
 
Hizi ndo thread za wachangiaji wa Lumumba utakuta wanapigiana simu. Ukitaka mkosane wapeleke mkutano wa Kinana huko Njombe uone.
 
Mana ujana wakati mwingine umfanya kijana kusema ata bila kufikiri sana au kuwa na uzoefu wa mambo.

Linaweza kumjia tu akalisema bila kufikiri sana

Sasa babu kweli unasema vijana hawa walioandama kukukataa kigoma wamelewa kweli

Kweli hawa ni mamluki wa CCM hawa.

Kama bendera zako zinachomwa na mamluki wengi kias hiki na wewe ndie mtendaji wa chama
Basi kazi imekushinda.

Jiuzuru

Vp kule mtwara nyumba zilivyochomwa tena za ccm!
 
Back
Top Bottom