msengerema weeee!
Wanatafuta huruma ya wananchi kwa kupindisha ukweli................wanamiliki kiwanda cha uongo!
utajua nini wewe ukigongwa kwako ni maisha nina stress ya mwenyekiti wa ccm asiyejitambua kuwa kauli yake ni amri kama amiri jeshi mkuu ambayo ameitoa kupitia tbccm na kutamba itangazwe ilivyo kwa sababu yeye yuko juu ya sheria patheticdada leo umeamka na stress sana, nenda kagonge kiroba uondoe Loki
ndio maana tuna dadisi akili za mwenyekiti wenu wa ccm kama zinamtosha kwamba hapaswi kutangaza vita ya wenyewe kwa wenyewe vita haina macho angalia musije kunyukwa wenyewe mpaka mukakimbia nchiMwaka huu mtasema sana, lakini ndivyo ilivyo, mkifanya kwiii tunawanyuka. Sisi ndio tunawaongoza, mtafata tukitakacho mkitaka msitake, kama si kwa hiyari basi kwa nguvu.
utajua nini wewe ukigongwa kwako ni maisha nina stress ya mwenyekiti wa ccm asiyejitambua kuwa kauli yake ni amri kama amiri jeshi mkuu ambayo ameitia kupitia tbccm na kutamba itangazwe ilivyo kwa sababu yeye yuko juu ya sheria pathetic
Haya kenge nimekusikia, sasa wamkamate muone moto wake.
icc inawasubiri kwa ham, hivi huyu baba riz moko siku hizi anavuta bangi eeeh, yaani mtu anatoa kauli ambayo nchi ilichafuka anakuwa matatani moja kwa moja.
dada nenda kanywe hata supu ya utumbo, unajua hang over sio nzuri
mvuta bangi ni yule anaweka rehani nchi yake kinyume cha alivyoapa kuilinda katibabange zinapulizwa na lema pale kijenge mwanama, mara moja moja dr.slaa anamgongea lema pafu ndio mana slaa akili zimemruka
Kikwete ameamua kuvuruga amani ya nchi yetu
MIMI nathamani sana, apigwe SLAA au MBOWE badala ya watu wasiyo na hatia.
April 1994, Rwanda ilipatiwa mapanga kutoka China na hivyo Nterahamwe wakafanya kazi yao kama ilivyopangiliwa na wakuu wa dola. Hapa kwetu kilichotamkwa sina hakika kama ni maneno matupu au tayari mzigo upo njiani kutokea China kwa ajili ya utekelezaji wa kazi iliyoagizwa na Mkuu wa kaya na msaidizi wake.
Au apigwe mama yako kuliko watu wasio na hatia tehtehtehtehee!![/QUOTE
unacheka tu kama malaya fulani, vipi, mtoto siyo riziki nini?
Haya drama ingine kutoka kwa Dr.Slaa sasa sijui BAVICHA watafuata yapi ya Lema au Dr.Slaa.
dr. Silaa ulivyosema nchi haitawalika ulikuwa unamaanisha nini?? Hwawa vijana unaowalisha viroba wanaanza kuwapiga watanzania wenzao, ujui wewe ndio wakushtakiwa???