Shida ya kuchukua wacheza bao uswahilini kuwapa nchi kutatugharimu sana Tanzania'
JK aache kucheza danadana na maisha ya watanzania, kama tamaa yake ni fedha za ruzuku ziongezeke ccm anatakiwa kuwa muungwana na kuacha mchezo mchafu.Moderator, unaacha huu upuuzi?
Kichwa kingine na utumbo mwingine. Hii kama si gongo ni nini?
Fataani, muongo, mzandik.
bange zinapulizwa na lema pale kijenge mwanama, mara moja moja dr.slaa anamgongea lema pafu ndio mana slaa akili zimemruka
ni hatari kubwa kwa taifa letu hili lenye sifa ya amani dunia nzima.
Atakaethubutu kumkamata Dr. W. Slaa nani!? wathubutu waone patakavyovurugika hapa.
Ndago mahakama ilisema ni mwigulu , igunga waliomwagia tindikali walitokea youtube wakasema aliwazurumu fedha aliyowapa mwigulu wanaCCM rafiki wa tesha mukiongopa na kumbukumbu muwe nazoulivyo mmwagia tindikal mkawakata mapanga watu kule geita,mkaua watu pale ndago hamkusema haya
ndio munavyojiamini pakichanganya hapa wa kwanza kwenda uhamishoni mwenyekiti wenu wa CCMHuu ni uchochezi imbulu we utafanya nini slaa akikamatwa unazungumza kama z*z* tu acha maneno ya vitisho hivyo ukijua wazi huna uwezo wa kutekeleza
BABU hayuko juu ya sheria. serikali vyombo vya dola vikimuona ni hatari kwa mustakabali wa amani ya Tanzania atachukuliwa hatua stahiki bila kuogopwa hata chembe!
ulivyo mmwagia tindikal mkawakata mapanga watu kule geita,mkaua watu pale ndago hamkusema haya