Dk. Slaa: JK ameliingiza taifa vitani

Dk. Slaa: JK ameliingiza taifa vitani

Status
Not open for further replies.
Huku akijua kuwa yeye ni Rais wa nchi, na amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, na akijua kuwa aliapa kuilinda katiba ya jamhuri ya Tanzania, kikwete alinukuliwa akitutaka sisi wanachama wa CCM tuache unyonge na tujibu mapigo ya wapinzani.

Kwanza Rais atakuwa ametangaza vita ya vyama katika chaguzi mbali mbali ziwe ndogo au mkuu, na upinzani wataanza kujihami mapema sana na hapo ndo vita kali itakapoanza.

Sasa natabiri haya yafuatayo:

Katika uchaguzi wa Kalenga Iringa machafuko yatatokea lakini hayatakuwa makubwa sana, yaan umwagikaji wa damu utakuwa mdogo.

Uchaguzi wa jimbo la chalinze ambao mwanae inasemekana anataka kugombea machafuko hayatakuwepo ila kutakuwa na mvutano wa kivyama tu.

Uchaguzi mkuu wa mwakani damu itamwagika sana si CCM wala Chadema au Cuf watu watapigana sana na kuuana sana.

Natabiri pia kuwa, Itakuwa ni CCM ndiyo itakayoomba mazungumzo ya vyama vya siasa ili kumaliza umwagikaji wa damu.

Natabiri vile vile kwamba, Vyama vya siasa vitakubali mazungumzo ila ndani ya mazungumzo hayo masharti kadhaa yatatolewa na vyama vya siasa na serikali ya mseto kuundwa.

Natabiri kuwa, Rais kikwete hatapata tuzo itolewayo na MO Ibrahimu.

Natabiri kuwa, Chadema itashinda mijini na baadhi ya maeneo ya vijijini na kura kati ya mgombea wa ccm na chadema bara zitapishana kidogo sana ikiwa wizi wa kura utadhibitiwa sana na chadema.

CCM Itaendelea kuiba kura au kuhujumu wagombea wa vyama vingine wasio na msimamo.
Natabiri kuwa Polisi na jeshi au vyombo vya dola wataipigia chadema kura nyingi sana.

Natabiri kuwa wakulima wa vijijini, wafanyabiashara wakubwa na baadhi ya vijana wataipigia ccm kura nyingi sana.

Natabiri vile vile kuwa chadema itapata kura nyingi kutoka kwa wanafunzi wa vyuo vikuu, baadhi ya wanawake, na watu wa hali chini, vijana wengi na watu maskini.

Natabiri kuwa Edward lowasa ndiye atakuwa mgombea urais wa ccm na chadema atakuwepo Dr.
Slaa.
 
Ujue hapo alikuwa anawatishia nyau wapinzani wapitishe katiba. Sasa nao wametetemeeeeeeeka, nimeona mmoja katoa li uzi hilo.

Yaani wapinzani hawajui tu, wanaweza mchezesha shere huyu mkulu kimya kimya na akashangaa. Wawe na msimamao tu, wasimamie wanaloamini, tena si kwa kulumbana naye wala jibizana naye. Wakimbizie moto kwa wananchi, mbona atasimamia kucha mwenyewe.

Kupambana na mfamaji raha sana, unaongea kidogo, actions more.
 
kikwete ameamua kupambana kwa vitendo na hawa wahaini wanaotangaza kuwa nchi haitatawalika. nampongeza sana sana. hongera sana rais wangu kikwete
 
Hii nnchi ni ya watanzania na siya wana siasa kwa manahiyo watanzania tuwe macho na wana siasa wana malengo mabaya na watanzania wanataka kutu piganisha kwa masilahi yao ya kisiasa.
 
wote wanaotoa kauli za kichochezi na za kuvuruga amani ya nchi ndio wanaweweseka kwa kauli thabiti ya rais kikwete.
 
wewe ni shekh yahaya?? utabiri wako ni wa kizushi na ni wa kichochezi tu. watz tumekupuuza
 
wote wanaotoa kauli za kichochezi na za kuvuruga amani ya nchi ndio wanaweweseka kwa kauli thabiti ya rais kikwete.

kabisa mkuu. si umeona LEMA na DR SLAA walivyotokwa na mapovu? hawa ndio wavurugao amani ya nchi hii. Mbona ZITTO yupo kimya?
 
Huku akijua kuwa yeye ni Rais wa nchi, na amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, na akijua kuwa aliapa kuilinda katiba ya jamhuri ya Tanzania, kikwete alinukuliwa akitutaka sisi wanachama wa CCM tuache unyonge na tujibu mapigo ya wapinzani.

Kwanza Rais atakuwa ametangaza vita ya vyama katika chaguzi mbali mbali ziwe ndogo au mkuu, na upinzani wataanza kujihami mapema sana na hapo ndo vita kali itakapoanza.

Sasa natabiri haya yafuatayo:

Katika uchaguzi wa Kalenga Iringa machafuko yatatokea lakini hayatakuwa makubwa sana, yaan umwagikaji wa damu utakuwa mdogo.

Uchaguzi wa jimbo la chalinze ambao mwanae inasemekana anataka kugombea machafuko hayatakuwepo ila kutakuwa na mvutano wa kivyama tu.

Uchaguzi mkuu wa mwakani damu itamwagika sana si CCM wala Chadema au Cuf watu watapigana sana na kuuana sana.

Natabiri pia kuwa, Itakuwa ni CCM ndiyo itakayoomba mazungumzo ya vyama vya siasa ili kumaliza umwagikaji wa damu.

Natabiri vile vile kwamba, Vyama vya siasa vitakubali mazungumzo ila ndani ya mazungumzo hayo masharti kadhaa yatatolewa na vyama vya siasa na serikali ya mseto kuundwa.

Natabiri kuwa, Rais kikwete hatapata tuzo itolewayo na MO Ibrahimu.

Natabiri kuwa, Chadema itashinda mijini na baadhi ya maeneo ya vijijini na kura kati ya mgombea wa ccm na chadema bara zitapishana kidogo sana ikiwa wizi wa kura utadhibitiwa sana na chadema.

CCM Itaendelea kuiba kura au kuhujumu wagombea wa vyama vingine wasio na msimamo.
Natabiri kuwa Polisi na jeshi au vyombo vya dola wataipigia chadema kura nyingi sana.

Natabiri kuwa wakulima wa vijijini, wafanyabiashara wakubwa na baadhi ya vijana wataipigia ccm kura nyingi sana.

Natabiri vile vile kuwa chadema itapata kura nyingi kutoka kwa wanafunzi wa vyuo vikuu, baadhi ya wanawake, na watu wa hali chini, vijana wengi na watu maskini.

Natabiri kuwa Edward lowasa ndiye atakuwa mgombea urais wa ccm na chadema atakuwepo Dr.
Slaa.

1. Kwa maana hiyo ni kweli kwamba Wapinzani ni washari?
2. Kwani kila rais lazima apate tuzo ya MO Ibrahimu? Na je JK asipopata hiyo tuzo kuna athari zozote kwake au kwa taifa?
3. CCM hawawezi kumpitisha LOWASSA ili CHADEMA mumchukue kwa vile mnaona anawafaa sana, sasa sijui kama mtampa agombee au atabaki kuwa SLAA?
4. AGENGA kubwa ya CHADEMA ni kuboreshwa kwa daftari la kupigia kura , wizi hivi sasa wameona ni hoja mfu kwa vile kuna maeneo mengine wanashinda CHADEMA, wewe inaonekana bado uko gizani
5. kura za CCM na CHADEMA kwa tanzania bara zitapishana kidogo kama kura hazitaibiwa, nani ataibuka mshindi? kihoro kimewaingia kweli CHADEMA , kumbe ukweli mnaujua kuwa CCM ni kisiki cha mpingo, waeleze viongozi wako huo ukweli
6. Hakuna kujenga hoja ya serikali ya mseto hapa, hakuna kipengele chochote kwenye rasimu zote mbili, ninyi ni mavuvuzela tu, mwisho wa siku wananchi watawashikisha adabu
 
kauli ya JK ni mwiba kwa wavuruga amani

ile tabia ya kuanzisha vurugu na kuumiza watu wakawaida sasa itapatiwa dawa, wakianzisha tu wanashughulikiwa wao SLAA na MBOWE na si vinginevyo, hadi wakome.
 
Huku akijua kuwa yeye ni Rais wa nchi, na amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, na akijua kuwa aliapa kuilinda katiba ya jamhuri ya Tanzania, kikwete alinukuliwa akitutaka sisi wanachama wa CCM tuache unyonge na tujibu mapigo ya wapinzani.

Kwanza Rais atakuwa ametangaza vita ya vyama katika chaguzi mbali mbali ziwe ndogo au mkuu, na upinzani wataanza kujihami mapema sana na hapo ndo vita kali itakapoanza.

Sasa natabiri haya yafuatayo:

Katika uchaguzi wa Kalenga Iringa machafuko yatatokea lakini hayatakuwa makubwa sana, yaan umwagikaji wa damu utakuwa mdogo.

Uchaguzi wa jimbo la chalinze ambao mwanae inasemekana anataka kugombea machafuko hayatakuwepo ila kutakuwa na mvutano wa kivyama tu.

Uchaguzi mkuu wa mwakani damu itamwagika sana si CCM wala Chadema au Cuf watu watapigana sana na kuuana sana.

Natabiri pia kuwa, Itakuwa ni CCM ndiyo itakayoomba mazungumzo ya vyama vya siasa ili kumaliza umwagikaji wa damu.

Natabiri vile vile kwamba, Vyama vya siasa vitakubali mazungumzo ila ndani ya mazungumzo hayo masharti kadhaa yatatolewa na vyama vya siasa na serikali ya mseto kuundwa.

Natabiri kuwa, Rais kikwete hatapata tuzo itolewayo na MO Ibrahimu.

Natabiri kuwa, Chadema itashinda mijini na baadhi ya maeneo ya vijijini na kura kati ya mgombea wa ccm na chadema bara zitapishana kidogo sana ikiwa wizi wa kura utadhibitiwa sana na chadema.

CCM Itaendelea kuiba kura au kuhujumu wagombea wa vyama vingine wasio na msimamo.
Natabiri kuwa Polisi na jeshi au vyombo vya dola wataipigia chadema kura nyingi sana.

Natabiri kuwa wakulima wa vijijini, wafanyabiashara wakubwa na baadhi ya vijana wataipigia ccm kura nyingi sana.

Natabiri vile vile kuwa chadema itapata kura nyingi kutoka kwa wanafunzi wa vyuo vikuu, baadhi ya wanawake, na watu wa hali chini, vijana wengi na watu maskini.

Natabiri kuwa Edward lowasa ndiye atakuwa mgombea urais wa ccm na chadema atakuwepo Dr.
Slaa.

Watanzania msiwe na wasi wasi Rais alinukuliwa vibaya. Kwa wasomi waliosoma Peace and Conflict Transformation, hiyo ni kauli ya mtu au Kiongozi aliyeshindwa na hana tena njia mbadala kutokana na msongo wa mawazo.

Haiingii akilini Mkuu wa Nchin kuuambia ulimwengu kwamba unawajua majangili na kiongozi wao yuko Arusha halafu huchukui hatua, nilitegemea kusikia kuwa majangili 40 na Kiongozi wao aliyeko Arusha wako mikononi mwa vyombo vya dola na tayari tumeshauparaganyisha mtandao wao. Kitendo cha kuomba fedha kama msingi wa nguzo ya kupambana na ujangili umenipa sura tofauti kabisa juu ya hiki chama na uongozi wa nchi yetu kwa sasa.

Wazee wa chama hiki nadhani sasa wameshakuwa marehemu wa fikra na hawawezi tena kushauri, kukemea ama kuonya. Kinachonisikitisha ni Ukimya wa Viongozi wetu wa DINI.

Kwa nini wasikemee kauli hii ya uchochezi? Au Uchochezi uko kwa viongozi wa upinzani tu. Kumbukeni aliyoyasema Nyerere wakati jamaa hawa wamekodi ndege kwenda Dodoma kuchukua form za Kugombea kwa tiketi ya CCM.

Mpaka ifike 2015 tutashuhudia mengi tu,
 
Kati ya hawa nani atakuwa mgombea wa CHADEMA? View attachment 139746 1920026_1388640938069949_1827733481_n-lowasa.jpg
 
Ujue hapo alikuwa anawatishia nyau wapinzani wapitishe katiba. Sasa nao wametetemeeeeeeeka, nimeona mmoja katoa li uzi hilo.

Yaani wapinzani hawajui tu, wanaweza mchezesha shere huyu mkulu kimya kimya na akashangaa. Wawe na msimamao tu, wasimamie wanaloamini, tena si kwa kulumbana naye wala jibizana naye. Wakimbizie moto kwa wananchi, mbona atasimamia kucha mwenyewe.

Kupambana na mfamaji raha sana, unaongea kidogo, actions more.

Ndiyo maana wamekkutana kwa dharura na kuandaa waraka wa pamoja na kumpa mpayukaji LEMA? sasa ngoja akanyee debe.
 
[JFMP3]
  • [h=3]Proverbs 29:2[/h]When the righteous are in authority, the people rejoice: but when the wicked beareth rule, the people mourn.

[/JFMP3]
 
Haya drama ingine kutoka kwa Dr.Slaa sasa sijui BAVICHA watafuata yapi ya Lema au Dr.Slaa.

Mkuu Ritz inaonekana hujausoma uzi....Maana ni Viongozi wa vyama wametoa matamko..na siyo Dr. peke yake..

Inashangaza kuona kauli hii kwako ni ya kawaida sana...

Mkuu Ritz wewe ni mkongwe kwenye jukwaa hili..Jazia nyama kwenye hoja yako..

unataka kuwa kama Simiyu Yetu ?? !!!!..Aaaaah
 
Last edited by a moderator:
  • [h=3]Proverbs 29:2[/h]When the righteous are in authority, the people rejoice: but when the wicked beareth rule, the people mourn.

Haya madubwasha yanayoitwa kikwete na pinda siyaelewi kabisa......siamini km wanaweza hata kuwa viongozi wa vijiji....yaani yanaongea utumbo tu muda wote. hii nchi imelaaniwa kwa kweli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom