Dk. Slaa: JK ameliingiza taifa vitani

Dk. Slaa: JK ameliingiza taifa vitani

Status
Not open for further replies.
Mkuu Ritz mnawabembeleza nini hawa wehu?!

Saivi ni kujipanga tu namna ya kuwatwanga hawa wehu hakuna kingine mwenyekiti wa ccm aemsema!

Wakati wanawapiga watu walikuwa wanaona raha,leo kibao kimewageuzia wanaanza kulalama!!

Waache waje waipate,hawa jamaa wamewafanyia mbaya sana watu wa Igunga,Biharamulo,Busanda,Arusha na Tarime!

Waache tuuuu....waache tuuuuuuuu.....waache tuuuuuu........haki ya mama yani hawa tayari wameiingia kwenye 18........halafu watamu saaaaaaana!!!
ndio tunafahamu kauli ya mwenyekiti wa ccm kutangaza vita ya wenyewe kwa wenyewe itakapoanza msoga atakuona kama mbinguni
 
Last edited by a moderator:
Slaa Kasema “Waswahili wanasema ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni. Hivi karibuni tulishangaa kauli ya Pinda kutaka polisi wawapige tu wapinzani, leo rais naye anawataka CCM waache unyonge, wajibu mapigo. Hii ni hatari sana,” alisema Dk. Slaa."

Mtu anaye jibu Mapigo, si inamaanisha amepigwa bula kosa, kwa hivyo ana haki ya kujitetea. Wewe Bwana Slaa wach unafiki, washauri vijana wako waache fujo na kuumiza watanzania, hapatakuwa na haja ya mtu yoyote juwajibika kujibu mapigo..

“Kwa maoni yetu, CHADEMA tunasema Rais Kikwete ameliingiza taifa vitani, amefungua milango ya uvunjifu wa amani, kinachofuata ni umwagaji damu.”

Dr hayo ni maoni yako, nadhani jii kauli ya Raisi itafunga milango yote ya vurugu za vijana wako, ambao kwo kuogopa ni ujinga bali ujasiri wa kuwaumiza wa Tanzania ndio ufahari, Basi sasa hiyo milango itajifunga na tutaona Amani nchini. "Dawa ya Moto ni Moto"
 
Hetu tujikumbushe hii video ya bukoba boys ya huyu GAIDI

Sawa huyu ni GAIDI na alifikishwa MAHAKAMANI, sasa tumpeleke na Mh. RAIS basi ili MAHAMA ikaamue....
 
Last edited by a moderator:
Hii Nimeipenda, Dr hapa amependeza sana, hata sura yake inaonyesha Amani na Utulivu, naona ni kable hajaanza ule mchezo wa kula tunda lililo mtoa Adam peponi.
attachment.php
 
unachojua ni kauli za mwenyekiti wa ccm za uongo epa watarudisha pesa pesa inaenda kwenye akaunti zake ni na majina ya wazungu wa unga majangiri kumbe familia yake nu wahusika

wewe dada safari za dubai na mwenyekiti zimekutia uchizi, mwambie slaa akileta fujo ni kichapo tu kinamhusu, hatuangalii cha uzee wake
 
1. itaichukua Tanzania siku 100 kupata katiba mpya
2. Tanzania itageuka kuwa nchi ya viwanda ndani ya mwaka mmoja
3. CHADEMA ikiingia ikulu mfuko wa saruji th. 5000
4. mabomba ya gezi yanajengwa kutoka mtwara kwenda Ulaya
5. nchi haitatawalika
Unaweza kuongezea upu.pu wa huyu Askofu.

View attachment 139689

mh! hakuna matahila kama ccm japo mm ni mccm mjadala unahusu kauli ya jk wao wameshahama kabisa.halafu hii picha umeedit sana.
 
Slaa Kasema “Waswahili wanasema ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni. Hivi karibuni tulishangaa kauli ya Pinda kutaka polisi wawapige tu wapinzani, leo rais naye anawataka CCM waache unyonge, wajibu mapigo. Hii ni hatari sana,” alisema Dk. Slaa."

Mtu anaye jibu Mapigo, si inamaanisha amepigwa bula kosa, kwa hivyo ana haki ya kujitetea. Wewe Bwana Slaa wach unafiki, washauri vijana wako waache fujo na kuumiza watanzania, hapatakuwa na haja ya mtu yoyote juwajibika kujibu mapigo..

“Kwa maoni yetu, CHADEMA tunasema Rais Kikwete ameliingiza taifa vitani, amefungua milango ya uvunjifu wa amani, kinachofuata ni umwagaji damu.”

Dr hayo ni maoni yako, nadhani jii kauli ya Raisi itafunga milango yote ya vurugu za vijana wako, ambao kwo kuogopa ni ujinga bali ujasiri wa kuwaumiza wa Tanzania ndio ufahari, Basi sasa hiyo milango itajifunga na tutaona Amani nchini. "Dawa ya Moto ni Moto"
mwenyekiti wa ccm anategemea polisi hivi wako wangapu wapu bunduki risasi na vifaru vulizidi nguvu ya wananchi mwenyeki wa ccn kalewa madaraja ndio maana utamsikua akikejeli kila mtu eti uraisi wangu hauna ubiya
 
Hii Nimeipenda, Dr hapa amependeza sana, hata sura yake inaonyesha Amani na Utulivu, naona ni kable hajaanza ule mchezo wa kula tunda lililo mtoa Adam peponi.
attachment.php

ha ha slaa uzalendo ulimshinda
 
Akili za gongo wapi Rais kataja vita.

Mtakebehi sana kuwa watanzania wapenda AMANI ni wanywa GONGO, ila mh. Rais atakavyopanda the HAGUE ndiyo utajua ni wapi alimaanisha VITA. Badala yakumshauri afute KAULI hiyo ya UCHOCHEZI, nyie mnatukana watu.
 
Ni upambavu wa Padre Slaa kulazimisha watanzania waamini kuwa CDM wana haki ya kupiga na kuua bila wao kuguswa. UVCCM wafanye jambo moja wakishambuliwa, wajibu kwa ghadhabu kali na mara zote viongozi wa CDM ndio iwe target
ya kwanza. Mfano, mwana/wana CCM akiuliwa au kuumizwa pale Arusha, Mnaanza na kumshughulikia G_Lema; vivyo hivyo maeneo mengine. Kama wameua na wao wauawe na kama wamejeruhi na wao wajeruhiwe. Lazima muanze na viongozi wanaotoa amri na ushawishi wa vurugu kwa vijana wao. Hii itawafundisha kufanya siasa za kiistaarabu.
 
wewe dada safari za dubai na mwenyekiti zimekutia uchizi, mwambie slaa akileta fujo ni kichapo tu kinamhusu, hatuangalii cha uzee wake
kikwete dubai estate hainihusu kila mtu anajua kikwete anatawala kwa upanga sitashangaa kikwete akimalizia kwa dr slaa baada ya kuwanyamazisha milele akina mwangosi
 
Chama cha Matukio tayari wameshapata tukio lingine la kulizungumzia.Mheshimiwa Rais hakuwa na maana ya kuwaagiza Wana CCM kufanya vurugu ama kupigana na Vyama vya Upinzani, bali anachowahimiza wasiwe Wanyonge pale inapotokea CHADEMA wamesema basi CCM na wanachama wake wajibu hoja, ni tafsiri potofu kwa CHADEMA kutaka kuwaaminisha Watanzania kuwa Rais ameitumbukiza Nchi kwenye machafuko! Shime Watanzania tusikubali kuburuzwa na Viongozi wa Upinzani wanaofikiria Maslahi yao tu bila ya kutafakari kwa kina kama wanavyofanya baadhi ya viongozi wa Upinzani
 
Slaa ana hasira ya chopa 3
kata 3, ana hasira ya nguvu ya zitto kumfunika na kuzomewa kigoma na
kanda ya magharibi, ana hasira jinsi chadema inavyokufa huku akiiangalia
kwa macho.

jibu hoja mkuu,mbona unakimbilia mawe!
 
Mbona wengi mnao-coment hii mnailenga CHADEMA tu wakati wamezungumza Lipumba, mbatia na Dr. Bashiru Ally? Kweli CHADEMA wanawapa headache CCM.

na mimi nimeshangaa ndugu yangu.kwa kweli watz matahila wengi.
 
1. itaichukua Tanzania siku 100 kupata katiba mpya
2. Tanzania itageuka kuwa nchi ya viwanda ndani ya mwaka mmoja
3. CHADEMA ikiingia ikulu mfuko wa saruji th. 5000
4. mabomba ya gezi yanajengwa kutoka mtwara kwenda Ulaya
5. nchi haitatawalika
Unaweza kuongezea upu.pu wa huyu Askofu.

View attachment 139689
Huyu Mzee wa hali ya hewa tumemchoka. hana hoja, hana sera, mi nafikiri akili imeshazeeka anafaa apumzike maana kuna siku atatia aibu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom