Anayetangaza kila uchao kuwa nchi haitatawalika sio huyu huyu slaa??
1. itaichukua Tanzania siku 100 kupata katiba mpya
2. Tanzania itageuka kuwa nchi ya viwanda ndani ya mwaka mmoja
3. CHADEMA ikiingia ikulu mfuko wa saruji th. 5000
4. mabomba ya gezi yanajengwa kutoka mtwara kwenda Ulaya
5. nchi haitatawalika
Unaweza kuongezea upu.pu wa huyu Askofu.
View attachment 139689