Idara 100 kifungu kidogo cha i na ii ya katiba ya jamhuri ya Tanzania inawalinda
siyo suala la Katiba, ni kwa sababu hakuna sheria ya kuwatia matatani
Idara 100 kifungu kidogo cha i na ii ya katiba ya jamhuri ya Tanzania inawalinda
View attachment 139697
View attachment 139699
Hawa ndio wanaweza kukaa na kumwelewa Dr Slaa anazungumza nini sio wewe ambaye hata kuandika hiyo mistari yako kadhaa huelewi umekusudia nini. Sio kila hoja humu uijibu, waweza kuzisoma tuu kwa ajili ya kujielimisha kisha baada ya miaka kama mitano hivi ukafikia kiwango cha Division 5 ukaanza kuchangia.
Unaimba taarabu kama Katibu wako mkuu?
kati ya awamu zote ni raisi gani aliyeleta attention ya masuala ya dini..!?
kwa hiyo wewe ni mpiga solo wake?mwimba taarabu na mipasho ni mwenyekiti wa ccm sidhani hata kama anajua yeye ni raisi wa wote
basi kikwete aliuza nchi kwa obama si alikuwa peke yake wakiongeaDr Slaa ni kibaraka na pandikizi la wazungu. Picha hii inadhihirisha. sijapata kuona kiongozi mkubwa anakaa peke yake bila kuwa na wasaidizi. hiyo safari ilikuwa official au personal?
Huna tofauti na kichwa maji,ujira wenyewe ni mkopo unaoutumikia.siyo suala la Katiba, ni kwa sababu hakuna sheria ya kuwatia matatani
endelea kumfurahisha kikwete anayeingiza nchi kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe akumbuke msoga atapaona kama sayari ya mercury raisi anatangaza kupambana na wananchi wake zinamtosha kwelu
kwa hiyo wewe ni mpiga solo wake?
View attachment 139697
View attachment 139699
Hawa ndio wanaweza kukaa na kumwelewa Dr Slaa anazungumza nini sio wewe ambaye hata kuandika hiyo mistari yako kadhaa huelewi umekusudia nini. Sio kila hoja humu uijibu, waweza kuzisoma tuu kwa ajili ya kujielimisha kisha baada ya miaka kama mitano hivi ukafikia kiwango cha Division 5 ukaanza kuchangia.
uko sayari gani greenguard na ccm wameacha wangapi vilemawapinzani ni wanfki kwani vurugu nyingi wao ndio waanzilishi. kauli ya JK nisawaswa 2 kwani uvumilivu unakikomo chake
Unatumika as if hali ikiwa tete nawe utapelekwa Doha kukimbia machafuko.Akili ya maiti hii.We vipi? Mbona umeng'ang'ana na neno, "vita ya wenyewe kwa wenyewe", Kauli hii kaitoa nani na wapi? Au ndio ajenda yenu chadema? Yaani inawezekana vipi we uwe hujamdhuru mtu, unafanya siasa zenye kufuata demokrasia na sheria halafu akaja mtu akamwaga damu yako! Labda huo ndio mpango wenu chadema. Mnahofu pengine ccm itajilinda basi mnalalama kutwa kucha humu Fb, acheni mawazo ya laana hayo!
kwahiyo hao wengine walisubiria Chadema waseme ndo nao wajitutumue? Mbili we hujui unatetea nini wakati kauli iliyotolewa sio nzuri kwa yeyote mwenye utambuzi!Unataka wasingiziwe wengine wakati CHADEMA ndiyo mhusika mkuu?
Tutajie vyombo gani vya ulinzi na usalama vilivyo chini ya Dr. Slaa.dr. Silaa ulivyosema nchi haitawalika ulikuwa unamaanisha nini?? Hwawa vijana unaowalisha viroba wanaanza kuwapiga watanzania wenzao, ujui wewe ndio wakushtakiwa???