Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

Mnabembelezana ili iwe vp..? wa2 hawashaulikiki., leave them as they r... those wu r educated they knw da truth... kikwete we wil remembr u as da president u split his natn kwa micngi ya dni.. na damu itayomwagika kwa sababu ya dini itakuandama wewe na kizazi chako milele...
 
Kuna watu wanaufinyu wa akili wanadhani wakiwatenga wakristo kwa kuwattack wakatoliki wataweza TEC,CCT ni wamoja weka kichwani hilo ,ukigombana na Wakatoliki ni wakristo wote na nia yenu nikuingiza nchi katika vita vya kidini hakuna itakayeokoka,taifa litaangamia munamwendekeza Jakaya ni mambo ya muda tuu ,siku zitapita hata kwepa hata siku moja dhambi kubwa aliyoingiza kwenye nchi yetu KIKWETE ni shetani anatakiwa atolewe mapepo
nadhani mwenye ufinyu zaidi wa akili ni yule mwenye kuwadharau wenzie na kuyaona mawazo yake yako sahihi.kamuulize mzee mkapa ni barua ngapi kaandikiwa bila ya kujibu madai ya watu hao. pia mauji mangapi ameamrisha juu yao. mabilioni wanayopewa na serikali ina maana wao ndio walipa kodi peke yao. naona we ndo shetani mkuu mwenye mapepo ya kwenye ubongo tena ni kilema wa akili wahi hospitali kabla hujachekwa na wanao ndani na pia busara zako ni za nguoni utamwambiaje raisi ana mapepo? bila shaka wewe ndie uliemrushia . Note: soma historia ya nchi na hali ya hewa kabla ya kuachama. bye
 
Ndugu zangu muslim umu ndani mmeeleza matatizo mengi kweli... tangu awamu ya kwanza ya nyerere hadi kikwete lawama zinabase kwenye upendeleo uliopandikizwa kwa wakristo... swali ni moja matatizo yote yanayoelezwa ikiwamo mahakama ya kazi yamesababishwa na serikalph ya chema..? acheni ujinga tafuteni source ya matatizo yenu la cvyo mtaendelea kandamizwa milele... nawasikitikia sababu mnaacha msingi wa tatizo mnaangaika na ki2 ambacho si sababu ya matatiyo yenu mliyo nayo tangu uhuru...
 
Kama mnaona source ya matatizo yenu ambapo msingi wake ni tangu ni chadema... sawa nakuwa nawahurumia sababu mnakimbia lilipo tatizo mnaangaika na pasipo tatizo...
 
Kama mnaon msingi wa matatizo yenu ni chadema., nawaonea huruma cuz mnapotea... haki yenu mlishanyang'wa wangu uongozi wa awamu ya kwanza... na serikali hyohyo ndo inayoendelea kuwakandamiza.... na kikwete huyo anamaliza miaka hamta kaa musikie akizungumzia mahakama ya kazi... amkeni ndugu zangu shugulikeni na tatizo lililowakandamiza tangu uhuru... kama mna dhani ni serikali ya chadema ndo tatizo la matatizo ya kunyanyasika kwenu tangu uhuru poa 2 endeleeni na harakati zenu.
 
Umenena mkuu,nami uwa mara nyingi napenda viongozi wa cdm wawe makini katika kujibu,si kila kitu lazima wakijabu mfano malumbano yanayoendelea sasa ya kuichafua chadema naomba wao wasijibu huo ujinga kwani ni mkakati wa kuonyesha kuwa hawana jipya,wao wajikite kuonyesha ukweli kwa wananchi uozo wa serikali tu,vyama vingine vinahitaji umaarufu tu kwa kujibizana na cdm wakati huo huo kujipendekeza ccm.
Kabla hata sijasoma maoni ya wengine, kwanza nakupongeza. Kitu ambacho umenifurahisha ni kuwa mkweli. Leo umejitofautisha kabisa na wale washabiki bora liende tu. Umesema kweli kabisa. na hii ndiyo weakness ambayo wengine tumekuwa tukii point out ya KUKURUPUKA. Niliwahi kusema kwamba akijirekebisha kwenye hili atafanikiwa sana. Nilitukanwa sana lakini ukweli ndiyo huo na huu alosema jamaa hapa. Slaa aache kukurupuka, iko siku atatuaIbisha UN
 
Ww ndio sasa una mapepo, kwani ni ukweli uko wazi kuwa kampeni za uchaguzi mkuu CHADEMA walitumia sana makanisa kufanya kampeni, sasa kama ww huishi Tanzania huwezi kujua, na nina wasiwasi huo. Mambo ya wakatoliki Sumbawanga unayajua ww ?

Unajua nyie mnakalilishana na kudanganyana misikitini, baada ya kusikia tamko la Kakombe kuhusu uchaguzi mkafikili makanisa yote yanamsupport Slaa kitu ambacho sio kweli. na mlichokifanya ni kutangaziana kumchagua Jk ndani ya misikiti yenu. Na nadhani mnajuta kumchagua na kuendelea kumbeba wakati habebeki, na mara nyingi mnafikiri wakristo wanawaogopa ndo maana mnatoa matamko yenye jazba ila wakristu hawajibu na mkae mkijua hata wakristu wamechoka kutishwa na siku mkilianzisha ndo mtachek mtiti wake na huyo alianzisha dhana ya udini
 
Acha uwoga mzee, hawa jamaa hawawezi kutufanya tubadili system zetu ili kukizi mapandikizo yao. Dr aliokaa kimya kuhusu kuibiwa kura kila mtu alikuwa analia hapa. Hawa waislamu wakitaka wote kwenda CCM waache waende. tukiwaogopa hawa watachupapa viboko sasa hivi waulize Sudan Kusini
Shalom

Sijateteleka mkuu msimamo wangu uko palepale na Dr. alivyojibu yuko sahihi kabisa 'jino kwa jino', kuna post moja nilisema kama waislam wanafikiri kwenda CCM ndiyo kuikoma CDM wanaweza wote kuhamia huko waone kama watafaidi sana kuliko wanaCDM, lakini wakati tunatekeleza hilo tujaribu kuangalia timing ya kujibizana na hawa watu.
 
Hivi karibuni Sheikh Mkuu alitoa kauli ya kuwataka waislam wasishiriki maandamano yanayoandaliwa na Chadema. Baada ya siku moja Katibu mkuu wa Chadema Dr. Slaa akajibu kwa kusema Sheikh Mkuu hakufanya utafiti. Kauli ya Slaa ni sahihi lakini haikustahili kutolewa na kiongozi kama yeye katika kipindi hiki ambacho kuna tension kubwa ya udini na mikakati ya makusudi ikifanyika kukihusisha chama hicho na mambo hayo. Slaa kwa kufanya hivyo anataka kukiingiza Chadema na yeye binafsi kwenye mtego wa malumbano ya kidini kitu ambacho kitawanufaisha wapinzani wao CCM. Naishauri Chadema kuwa waangalifu sana na mitego ya aina hiyo na ikiwezekana baadhi ya majibu au matamko yawe yanatolewa na viongozi wa chini kama wenyeviti wa mikoa au viongozi wa jumuia za chama kama BAVICHA ili iwe rahisi kukihami chama endapo kutakuwa na utata kutokana na kauli iliyotolewa. Chadema isione aibu kujifunza kutoka CCM kwa kutoa matamko kupitia jumuia zao kama UVCCM viongozi wa juu wanapotakiwa kuthibitisha husema 'hayo ni maoni yao' hata kama ndio msimamo wa chama. Naomba kuwasilisha.

fruitful !!
 
Hivi karibuni Sheikh Mkuu alitoa kauli ya kuwataka waislam wasishiriki maandamano yanayoandaliwa na Chadema. Baada ya siku moja Katibu mkuu wa Chadema Dr. Slaa akajibu kwa kusema Sheikh Mkuu hakufanya utafiti. Kauli ya Slaa ni sahihi lakini haikustahili kutolewa na kiongozi kama yeye katika kipindi hiki ambacho kuna tension kubwa ya udini na mikakati ya makusudi ikifanyika kukihusisha chama hicho na mambo hayo. Slaa kwa kufanya hivyo anataka kukiingiza Chadema na yeye binafsi kwenye mtego wa malumbano ya kidini kitu ambacho kitawanufaisha wapinzani wao CCM. Naishauri Chadema kuwa waangalifu sana na mitego ya aina hiyo na ikiwezekana baadhi ya majibu au matamko yawe yanatolewa na viongozi wa chini kama wenyeviti wa mikoa au viongozi wa jumuia za chama kama BAVICHA ili iwe rahisi kukihami chama endapo kutakuwa na utata kutokana na kauli iliyotolewa. Chadema isione aibu kujifunza kutoka CCM kwa kutoa matamko kupitia jumuia zao kama UVCCM viongozi wa juu wanapotakiwa kuthibitisha husema 'hayo ni maoni yao' hata kama ndio msimamo wa chama. Naomba kuwasilisha.

fruitful !!
 
mimi nataka sana muislaam anyependekeza mahakama ya kadhi anambie nini hukumu ya baba aliyetembea nje ya ndoa na kumzaa mtoto ambaye atakuwa nje ya sheria ya mirathi..
Uislaam unakataza watu kutembea nje ya ndoa zao na hukumu yake ni kubwa sana kuliko hata huyo mtoto anayezaliwa..
Je, kwa nini kwanza tusiwahukumu wazazi ili kukomesha zinaa ila tunachagua mahakama rahisi ya kuwaadhibu watoto maskini wa Mungu ambao hawakupenda kuzaliwa nje ya ndoa?.
Kwa nini tunaomba sheria nusu nusu hali zinaa ni kubwa sana baina yetu, tena basi waislaam wakizaa na wakristu, waislaam na baniani haya yote sii makosa ya kuombea mahalama
Why mahakama ya kadhi ikiwa sisi wenyewe tunashindwa kuifuata dini ipaswavyo au hata kutumia sheria law kama kweli tunaitaka haki yetu?
 
Hivi karibuni mufti wa Waislamu wa Tanzania aliwatuhumu chadema kuwa maandamano wanayofanya yanatishia amani ya nchi. Kesho akaibuka katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo Dr.Slaa na kumwambia mufti afanye uchunguzi kwanza kabla hajasema lolote. Hili lilipokelewa kwa shangwe na wafuasi wa cdm humu jf huku wakirusha makombora ya hapa na pale kwamba mufti hawezi wala hana hiyo elimu ya kufanya uchunguzi hivyo kibarua anachopewa na Dr. Ni kikubwa kuliko uwezo wake. Naomba kuuliza kati ya dr na mufti anayeweza kufanya uchunguzi vizuri ni nani? Kwa sababu hata Dr. Angekuwa ana uwezo wa kufanya uchunguzi asingeweza kuchukua mke wa mtu bila ya yeye kujua kuwa mchumba aliyenaye na anaemtangaza kuwa mchumba wake ni mke wa mtu. Naomba kuwasilisha.
 
Kabla cjacoment naomba kujua umesoma mpaka level gani nisije nikakulaumu bure coz so far uwezo wako wa kureason ni mdogo sana,
 
Hapa ni kaaaaazi kweli kweli! Loh! Mleta mada hapa hujaeleweka kabisa, zaidi ya ujumbe wako kutupa insight kwamba hata uwezo wako wa uchambuzi ni zero. Na kama umesoma sana tena sana umeishia la saba, tena ya kata.
Aaaarghhh inatia kichefuchefu
 
we soma jina tuu utajua tuuu!:juggle::juggle::juggle::juggle:
 
Mufti anajua zaidi kuchunguza, kwa msaada wa majini na nyota
 
Back
Top Bottom